Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali


shukrani sana mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta fundi mtaalam wa Nissan Murano na Toyota Prado. Niko Dar. Anaweza kunichek 0763 788 000
 
Karibu sana mkuu JO AUTO TECH tujifunze wote mm mwenyewe ni mwanafunzi siunajua vile technologia kila siku inakuwa na elimu haina mwisho..so njoo tujifunze kwa pamoja .kama upo dar es salaam karibu sana mwenge

Mkuu hii gereji iko sehemu gani? Ungeweka na namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana
 
Wataalam was tairi nisaidieni je, ni salama kubadilisha size ya tairi kutoka 185/65r15 kwenda 195/65r15?
 
Wadau Habari Za Jioni, Gari Yangu Ni Toyota Alphard, Tangu Nimeigiza haina Hata Mwezi, Leo Ghafla tu Kila Nikiwasha Ac Insletea hewa Isioeleweka, Joto Si Joto, Kiukweli Imeninyima Raha hii, Ukizingatia Mimi Mazingira Ya Joto la Dar Sijayazoea, & then Mimi Huku ni Mgeni, Sina Connection Yoyote
 
Mtafute@lege
 
Angalia AC regulator switch isije ikawa umepunguza baridi na kuongeza joto bila kujua
 
Wataalam was tairi nisaidieni je, ni salama kubadilisha size ya tairi kutoka 185/65r15 kwenda 195/65r15?
Funga zinakaa bila tatizo hizo, tena zinaifanya gari yako iwe na muonekano mzuri!!..
 
Habari, nina shida na Front bumper ya Audi A4 2003-04, muuzaji au yeyote mwenye connection msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…