Check hydraulic kama haijapunguaHabari za saa hii wakuu,
Ninagari yangu vitz clavia, nilipeleka kwa fundi aipige rangi. Baada ya siku kama 10 hivi ikawa imekamilika.
Cha ajabu sterling imekuwa ngumu kama jiwe. Ila ukiindesha kama dk 1 inarudi katika hali ya kawaida. Tatizo linakuwa kubwa unapotaka kupark au kuitoa parking.
Niliporudi kwa fundi rangi akanambia huenda rangi imeingia kwenye joint gani sijui akanishauri niendelee kuitumia tatizo litaisha ila mpaka Leo almost mwezi bado tatizo lipo palepale. Sterling ni as if inajilock.
Naomba ushauri kwa mtu aliewahi kuexperience hii kitu.
@Mshana Jr ushauri wako mkuu, sijawahi kumiliki gari...Nataka ninunue used kwa mtu bajeti ni mil 4+ kipato changu ni wastani tu. Je ipi itanifaa? Ila nikipita nayo mtaani wasinidharau sana [emoji1][emoji1][emoji1]Check hydraulic kama haijapungua
Cheki power steering system Kama haijawa distubed ...hiyo sababu fundi aliyotoa ni ya kipuuzi mno
Tuwasiliane yapo ya bei hiyo lakini lazima upate mkweli@Mshana Jr ushauri wako mkuu, sijawahi kumiliki gari...Nataka ninunue used kwa mtu bajeti ni mil 4+ kipato changu ni wastani tu. Je ipi itanifaa? Ila nikipita nayo mtaani wasinidharau sana [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Nakuja pm mkuu!Tuwasiliane yapo ya bei hiyo lakini lazima upate mkweli
Wanadai hiyo ni namba B4M to 4.5
Pima kwanza block kama haijaathirikaEngine 2az ya Vanguard imekaanga na kuharibu Shaft, pistoni moja na mkono wake, fundi ananishauri ninunue hivyo vifaa kisha turudishie itakuwa vizuri, najua humu wengi wanauzoefu naombeni ushauri wenu
Nashukuru ,nitafanya hivyoPima kwanza block kama haijaathirika
Nashukuru, nimepima block ipo vizuri, fundi amerudishia vifaa vilivyoharibika (shaft na piston na mkono wake);sasa ipo vizuri kabisa,nashukuru kwa ushauri kiongoziPima kwanza block kama haijaathirika
Aende kwa Fundi wakaangalie Piston ring zitakuwa zimeisha habari yake, na kama ana hela wacheck na piston kama zinadagi wachonge na sleeve waweke mpya, lkn hasa kabisa ni hizo Piston ringHabarini wakuu kuna mdau ameniuliza nkaona nilete kwenu hiv gari ikiwa inakula sana oil shida inaweza kua ni nin??? Amefanya service kama mwezi hivi ila jana kaangalia oil imebak chini ya nusu kidgo kwa kutumia ile stick
Aende kwa Fundi wakaangalie Piston ring zitakuwa zimeisha habari yake, na kama ana hela wacheck na piston kama zinadagi wachonge na sleeve waweke mpya, lkn hasa kabisa ni hizo Piston ring
Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
Basi sawa acheki aina nyingine ya kutatua hiyo changamotoKama ringi zimeisha c ingekua inatoa moshi mwingi
Check leakageHabarini wakuu kuna mdau ameniuliza nkaona nilete kwenu hiv gari ikiwa inakula sana oil shida inaweza kua ni nin??? Amefanya service kama mwezi hivi ila jana kaangalia oil imebak chini ya nusu kidgo kwa kutumia ile stick