Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Ninkushtuka tu mkuu

Okay tatizo linaweza kuwa dogo kama ATF kuwa chache au la saizi ya kati kama kustuck kwa valve kwenye gearbox(Hapa uwezekano ni mdogo) au Linaweza kuwa kubwa kama kubadili au kuitrain upya control box ya gearbox/gari yako.

Kama upo Dar karibu.
 
Nikija Dar nitakufafuta mkuu shukran sana!
 
msaada wadau, NNA MACHAGUO 3
1 . SUBARU XT 2010
2. BMW X3
3. NISSAN MURANO
Naomba maoni kitaalam kwa safari na ubora....(usiweke kigezo Cha Kula Mafuta)
Nihamie wapi katika Izo SUV?
 
nina 4m natafuta gari
vits
gx100
mark two grang
na zingine zilixopo ni pm for more information
 
Lege....popote ulipo....tafadhali tuwasiliane inbox.

Au kwa yeyote mwenye namba ya Lege ya mkononi...naomba share with me inbox.

Asante wana jukwaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…