Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Inahitaji service hiyo
 
Habari wakuu,

Nina gari aina ya IST, nilifanya service mwezi mmoja uliopita yaani nilibadili oil. Lakini baada ya muda mfupi oil ilipungua sana. Baada ya ukaguzi nimwngundua gari inavujisha oil. Msaada tafadhali ni kwa namna gani naweza kutatua tatizo hilo ?
 
Oil kuvuja kuna mawili
Oil seal imechoka au knob ya kumwaga oil haijakazwa
Check hayo mawili
 
Habari wakuu, naombeni msaada.
Nataka kufufua gari langu natafuta hizi spare, wapi naweza kupata mpya na genuine? Bei?

5L Engine assembly (complete set ikiwa na kila kitu)
Differential ( complete set)
Gear box ( complete)

2008 TOYOTA HILLUX D. CABIN, imported from South Africa
 
Hii agiza South au Japan
 
Oil kuvuja kuna mawili
Oil seal imechoka au knob ya kumwaga oil haijakazwa
Check hayo mawili
Asante Mkuu, nilibadili oil seal ila nimegundua bado oil inapungua na kipindi hiki sio tena oil ya engine ni oil ya gear box. Msaada tafadhali nini inaweza kuwa sababu ya oil ya gear box kuvuja ?
 
Hi agiza kutoka nje maana ukichukua iliyotumika hapa tanzania unaweza kupata changamoto/shida muda si mrefu baada ya kufunga.
 
Mwenye uzoefu au kuijua Honda CR-V anise useful kuhusu ugumu wake fuel consumption, etc. nataka kuitafuta hii.
 
Nazichanga nichukue honda crossroad nimeipenda sana mwenye kuijua vizur naomba anipe details zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…