Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nnaomba serikali ifungie mitumba yote ya magari.

Tunateseka na foleni.

Anaetaka gari anunuwe jipya. Amma kwa mkopo amma cash kwa fedha za wizi.
 
Nnaomba serikali ifungie mitumba yote ya magari.

Tunateseka na foleni.

Anaetaka gari anunuwe jipya. Amma kwa mkopo amma cash kwa fedha za wizi.

Yaani kufikiria kwako kote ndy umeishia hapo yaani unasema magari ndy yanaleta foleni! Wakati miundo mbinu haiko sawa mfano barabara nyingi ni mbovu
 
Kaundime2
Please call me on 0767328063, sisi ni Autocom Japan, used cars importers from Japan, office zetu zipo hapa Quality Center, Nyerere Road Dar es salaam. Tunatoa ushauri wa magari, na pia magari yetu ni bei nzuri kabisa na well maintained. Mkuu naomba nipigie. Hautojutia uamuzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Nnaomba serikali ifungie mitumba yote ya magari.

Tunateseka na foleni.

Anaetaka gari anunuwe jipya. Amma kwa mkopo amma cash kwa fedha za wizi.

iyo haiwezekani na hawasubutu kabisaaaa kufungia magari ya mitumba isiingie hapa tz ........
 
Waweke limit magari mwisho miaka 5 kuingia Tanzania.
Ikizidi mitano basi fine na kodi asilimia 100 ya thamani ya gari jumla asilimia 200.
Nguo za Mitumba nazo zizuiwe.
Used spare parts zizuiwe
 
Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa, mnaongea utadhani mnamiliki magari mapya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…