Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali


Kwenye website yenu wekeni price tag ya kila gari kama walivyofanya wenzenu wa beforward sio kufahamu bei mpaka mteja aangaike kuwatafuta nyie
 
Mkuu, ndugu Mshana,
Mimi naomba msaada kuhusu utoaji wa gari (used car) zile estimations za TRA, hizi si huwa kuna formula yake wanatumia? Tafadhali wakuu naomba mnisaaidie katika haya mahesabu kwani nimenunua used car kutoka japan with these specification:
C&F Dar es salaam $4,100
Ocean freight $900
Gross weight 990kg
Used vehicle Mitsubishi pajero Mini year, 2007, 0.66L Petrol
Sasa hii nikubali kulipia kiasi gani pale TRA??? (Maana pale huwa kuna overestimation za ajabu).
Shukran!
 
Mkuu nunua bmw au harrier achana vijigari hvy vya kina mama vya kwendea sokoni
 

Mmmhhh sio mwiziii huyu???
 
Last edited by a moderator:
Nunua Raum....enough space....ulaji mdogo mafuta.....haisumbui ovyo ukiitunza vizuri......ingawa IST ina sifa hizo hizo kasoro ya space.....

eti vipi kuusu kugusa chini, ipi imeinuka zaidi kati ya izo?
 

Kuna wadau humu wanajua vizuri sana kuhusu hilo naamini watakuja na majibu sahihi hasa hasa naomba kuwaita RRONDO Kaizer na N'yadikwa
 
Last edited by a moderator:
 
Wadau naomba msaada kati ya Terios na Cami ipi ni gari nzuri kwenye unywaji wa mafuta, upatikanaji wa spair parts na bei za spair, na durability zake.
 
Leo njiani nilikutana na gari yenye plate no ya MCA kutoka Mwenge kwenda Tegeta. Inamaana TZ tumeshafikia plate no zinazoanza na M? Au hii gari vp? Mimi ninachojua, bado tupo D. Sasa hii inanishangaza wadau.
 
Hizo ni number za wauza magari, huzitumia kabla ya kusajili.
 
Sawa Mkuu, kama nimekuelewa vyema unasema mimi nijitayarishe tu vyovyote. Basi nipe basi mwanga hata kidogo niweze kubishana na huyu Clearing agent wangu. Kwa mfano zile taxes wanazozikata ukiachia VAT, ni zipi hizo? Je zina fixed rates?

 
RRONDO msaada wako wa info za BMW 3 ulizodai ulizipost zikuonesha hadi bei za spea ikiwemo filter
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…