ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Ulevi ni janga na Changamoto inayokabili watu wengi sana.Ulevi huwa unaathiri familia na maisha ya watu.
Katika kukabiliana na Changamoto hii ninakusudia kuanzisha Jumuia za Walevi wanaotaka kuacha ulevi.Walevi hawa watkutana katika maeneo fulani na kujadili changamoto zao bila kuwepo na kilevi cha aina yoyote.
Katika kuhamasisha hilo nimeona nilete bandiko hili hapa ili tujadili vituko mbalimbali vya walevi na wanywa pombe.
Mimi kama mtumiaji wa vilevi nina matukio mawili ambayo naweza kuwashirikisha ili tufarijiane.
Mimi Huwa natumia Beer au Brandy.Sasa Changamoto ni kwamba Rangi ya Beer huwa inafanana na rangi ya mkojo.Lakini Pia nina tabia ya kuweka Beer au Brandy kwenye Chupa za Maji.Na tabia mbaya nyingine ambayo huwa nakuwa nayo ni ya kukojoa kwenye chupa za maji.
Sasa Huw kuna wakati ninaamka usiku wa manane(Ulevi Usikie Tu) kisha na kumbuka kwamba Kuna Kamnywesho kangu nilikaacha kidogo so nataka nikamalizie.Kuna kipindi nilijikuta nimepiga pafu kojo.Hata hivyo pamoja na karaha hiyo sijaweza kuacha ulevi ila napambana.
Tupe matukioa yako ya kusikitisha kuhusu ulevi na iwapo ungependa kujiunga na klabu ya waraibu wa Pombe Weka Comment na kusema Ungependa kujiunga na Klabu ya watu wa Mkoa Gani?