Ahh wngine tunashusha vitu kwa mangiLeo ktk vijiwe vyetu vya bar ,ugimbi unashuka taratibu huku story kubwa kutekwa tajiri
Hyu jna aliondoka na mzinga wakeHabarini ndugu wajumbe wa siku hii kubwa!
Nmekuja pia mpa pole jamaa yangu jna karudi mitungi akaingia kwenye mtaroLeo ktk vijiwe vyetu vya bar ,ugimbi unashuka taratibu huku story kubwa kutekwa tajiri
Mpe pole kamanda,ajali kaziniNmekuja pia mpa pole jamaa yangu jna karudi mitungi akaingia kwenye mtaro
Mambo ya tungi hayo [emoji23] [emoji23]
Pembeni ana safari anapiga
Ova
View attachment 894414
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpe pole kamanda,ajali kazini
Safi! Haya elezea na nyingine! Kuna watu wanachanganya sana hasa kwenye "spirit".spirit ni pombe za aina gani? Me nnachojua pombe kali zote ambazo yeast hajahusika ni spiritsBrandy:
Hii ni aina moja wapo ya pombe kati ya nyingi kama whisky, beer, Gin, Rum, Vodka n.k.. Aina hii ya pombe wataalam wanasema ni Antioxidant-mimi sio mfamasia-hivyo nitaielezea kwa lugha ya kawaida (yetu wanywaji na uzoefu wangu).
Kuna wakati unaweza toka pata msosi(lets say pilau, wali n.k) ukahitaji kunywa beer baada ya hapo, lakini tumbo linagoma kabisa sbb liko full. Basi brandy ndio mahala pake. Brandy ni pombe inayofaa sana kuitumia baada ya kula. Hii inalegeza tumbo na kukupa nafasi ya kuendelea na vinywaji kama beer. Ukimaliza kula ni nzuri kuitumia ikiwa kavu pasi na ice. Sometime tumbo unaweza liona haliko sawa kabisa kutokana na mfululizo wa pombe, basi brandy ni tiba nzuri sana.
Katika matumizi ya kawaida ni nzuri ukiichanganyia na vinywaji ambavyo vinaasili ya coke like coca cola n.k
Kama tunavyojua, pombe nyingi ni booster sana (nadhani nimeeleweka). Basi brandy ni moja ya booster ya hatari sana. Ukiifanya na cocktail ya wine, basi 'vita ni vita'.
Kitu pekee cha tahadhali ya hizi brandy ni kuua macho. Ukizitumia kwenye glass zikiwa kavu (bila ice) zinaweza sana kukuua macho kutokana na mvuke wake.
Brandy ninazozihusudu sana ni Valuer.
CHEERSView attachment 893819View attachment 893843
Ndy duniaa[emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atapona haraka sanaNmekuja pia mpa pole jamaa yangu jna karudi mitungi akaingia kwenye mtaro
Mambo ya tungi hayo [emoji23] [emoji23]
Pembeni ana safari anapiga
Ova
View attachment 894414
Sawa mwenyekiti itifaki itazingatiwaMwongeze moja bili kwangu tasavali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi ndio pole zetu