Tupo tunajidunga pamoja[emoji1545][emoji1545][emoji1545]asante sana katibu
Wengine tunaonekana wajanjajanja tusije tukajumui.....shwa leo tungi ni ndani tuKuweni makini wale watekaji wa Mo bado hawajatiwa nguvuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah yanga wabaya sana
Zamani nilikuwa nawashangaa sasa naona kawaida wengi ni waoga tuUtakuta janaume zima kutwa kuzunguka nasavana club
Huoni haya
Nimeingia chobingo 1 nangata 2-3 alafu ndani [emoji23] [emoji23]Dah yanga wabaya sana
Mzee Herman alikuwa na mtoto anaitwa Rose alikuwa bonge HV na Njoki. Tulisoma nao primary hao.Ukingia avacado pale Unapita kwa mzee Herman unpita kwa lyumba then silver pipes
Ova
Mtoto wake mmja si kaolewa na mtoto wa rais awamu ya 2 hyo ndy namjua zaidiMzee Herman alikuwa na mtoto anaitwa Rose alikuwa bonge HV na Njoki. Tulisoma nao primary hao.
Ndio mana neno yanga halitokani na jna la kiumbe yeyote duniani.Dah yanga wabaya sana
Karibuni..Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Senkyu sirKwa hiyo pombe ndio itakayo niondoa...basi fresh tuView attachment 894899