Poa katibu mi leo kodi silipi kabisa mpaka kesho wakinipiga faini poa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji yako ashazoea mbilinge zangu
Ananielewa sana
Ova
HahahahaPoa katibu mi leo kodi silipi kabisa mpaka kesho wakinipiga faini poa.
Leo fulu shangwe kwake maana ilikua ngoma 7/8 mpaka tisa.Hahahaha
Naona shemeji yangu leo kawakaaa
Dah ila poa leo tuliaaa
Ova
Baada ya Ibungu ile inayoelekea uwanja Wa sahara? Kisha inafuatia kwa brother Joff pub?Kweli wee mwenyeji ni baada ya Ibungu
Nimekulia maeneo yale na ndio viwanja vyetu kuanzia Jasu,Respect,star point,Small World,Picnic, King'ole,Good time,Mengeni,Burudan,Palm View,Ndamen,Rombo,usengwile,Carnival, Masama,Gonga zote,Muleba,Brother Joff! Hizo ni baadhi ya viwanja sikosi kwa sikuKweli wee mwenyeji ni baada ya Ibungu
[emoji15][emoji15][emoji115][emoji115][emoji115]duuuu respect kubwaNimekulia maeneo yale na ndio viwanja vyetu kuanzia Jasu,Respect,star point,Small World,Picnic, King'ole,Good time,Mengeni,Burudan,Palm View,Ndamen,Rombo,usengwile,Carnival, Masama,Gonga zote,Muleba,Brother Joff! Hizo ni baadhi ya viwanja sikosi kwa siku
Ndy tumeanza kulipa kodi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo fulu shangwe kwake maana ilikua ngoma 7/8 mpaka tisa.
SaluteNimekulia maeneo yale na ndio viwanja vyetu kuanzia Jasu,Respect,star point,Small World,Picnic, King'ole,Good time,Mengeni,Burudan,Palm View,Ndamen,Rombo,usengwile,Carnival, Masama,Gonga zote,Muleba,Brother Joff! Hizo ni baadhi ya viwanja sikosi kwa siku
Mwendo nyagi leo mwenyekiti[emoji15][emoji15][emoji115][emoji115][emoji115]duuuu respect kubwa
B 1 kila siku ukitumia 100,000/ utatumia kwa miaka 29[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15][emoji15][emoji115][emoji115][emoji115]duuuu respect kubwa
Safi hiyooooooNdani ya king'ole club nalipa kodiView attachment 901410
Usipofanya hivi nitaleta aibu! Hapa ni 24/7 days wana kibaliSafi hiyoooooo
Hapo lazima vyombo vishuke kwa speed
Ova
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usipofanya hivi nitaleta aibu! Hapa ni 24/7 days wana kibali
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86][emoji115][emoji115][emoji120][emoji111][emoji111][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Nadhani tumeelewana wajumbe[emoji4]View attachment 901132