Naunga hoja mkono[emoji482][emoji481][emoji115][emoji482][emoji481]Tulewe jamani, tulewe ,tusitegeane ,
Cc Blaki Womani @ Mrangi Mshana Jr na wengineo ,tusiangushane Furahi Day Leo
Ngoja nimwambie mwenyekiti awalime barua tbl ya malalamiko,kwanini safari ndogo ziko adimu mkoani hkoJamani turushieni visafari vidogo huku mikoani. Tokea tufike ni michupa mikubwa tu
Tunywe supu ,tuendelee na ugimbi ,ndio la msingi humuMo dewji kapatikana inasemekana!
Nimeanza kwa mangi mapema sanaTunywe supu ,tuendelee na ugimbi ,ndio la msingi humu
Angefungua Kiwanda cha tungi tungemuelewaWaache wafu wazike wafu wao... Kwanza sio mwanachama wetu...
Kodi muhimu mwenyekitiLeo tungefanya karamu... Anyway acha tuendelee kuchangia kodi
Imara kama simba wa nyika... Next round bill kwa katibu... Protocol imezingatiwa... Katibu akishindwa atanijulishaMshana Jr
&
mrangi
Na walipakodi wote mpo imara?.
Mi nipoimara sana na nimeshaanza kulipa kodi kaibuni.View attachment 904662
Imara kama simba wa nyika... Next round bill kwa katibu... Protocol imezingatiwa... Katibu akishindwa atanijulisha
Mshana Jr
&
mrangi
Na walipakodi wote mpo imara?.
Mi nipoimara sana na nimeshaanza kulipa kodi kaibuni.View attachment 904662
NakaziaKodi muhimu mwenyekiti
Ova
Woyooooo
Waache wafu wazike wafu wao... Kwanza sio mwanachama wetu...
Haya ndio ya msingi ,na ndio muhimu taifa lipate mapato yake kupitia kodi zetu sisi wanywaji