Shemeji ako kakaKama nini mdau[emoji85][emoji85]
Asante mkuu Niko Moro nakunywa bia za huku leoIyoo bia nainywaga nikija Moshi tu mfano Leo nimekunywa windhoek kesho najua Heineken muhimu....all in all tamu Sana zote... mzigua karibu club malindi Moshi tule burudanii
Hivi hz picha za hv za watu wengi ,km wote mko humu JF,na yuko ktk Uzi huu ,si mnaanza kutazamana usoni? ( wazo la mlipa kodi ) ,ila big up mko vzrYatima HadekiView attachment 905048
Nina hamu ya kuongea kichina leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 905004
Me ndo nimetoka Moro Leo asbh nimekuja home kimsalimia bi mkubwa chap...km utakuepo hd next week nitakukutaAsante mkuu Niko Moro nakunywa bia za huku leo
Mi bado nakomaa nipo oriento sasa wenzangu wamelala baa, kama sio ustarabu ningewapiga picha.Wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Leo umenikumbusha myusi enzi za 1993 nikiwa naenda likizo kwa broo alikua kikazi pale dah!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaká angu hiko ndio kinywaji changu mm sinywi chochote zaidi ya hiko labda boha nikiwa tanga kwetu
Njoo oriento toka malindi kunaushetani mkuu.Iyoo bia nainywaga nikija Moshi tu mfano Leo nimekunywa windhoek kesho najua Heineken muhimu....all in all tamu Sana zote... mzigua karibu club malindi Moshi tule burudanii
Wat a combination [emoji12] [emoji12]Raha ya kuzimua mapema yaani nimejikuta hapa View attachment 897630
Hahahahaha acha kabisa hiyo siku ilikuwa balaa. Supu saa 4 kurudi home 7 uck kidogo niahirishe safariWat a combination [emoji12] [emoji12]
Njoo oriento toka malindi kunaushetani mkuu.
Weekend kwa mbaaliiView attachment 905307