Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nalipa kodi kimya kimya Na plisner king asije akasikia mana nimemwambia nipo job bado kuna breakdown imetokea suddenly nilivyokuwa nataka kutoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Co estas mi amigos sí...Nimeamka na hangover nawasalimu ki spanish sijui nimepatia...ngoja nikazimue kwanza[emoji125]
Nkioldjhurowmzjfoemzkdoebgjtuladfoercl.
Dah! Ngoja nikazimue nimeshindwa hata kuwasalimia. Nilichoandika msitari wa juu nisaidieni kuediti ni mambo ya kilevi tu wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…