Mshulikieee mapemaaa sana iwe fundishooLazima tuchukue hatua stahiki iwe funzo kwa wengine[emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji43][emoji43][emoji43]
Hapa nataka kula mangoma Nna beats of dre langu kitambooHahahaha, huku tuko busy kulipa kodi ,huko kwingine waendelee kubishana
Huyo bonge nani?Nimeshawasha mashine mi tayari.View attachment 905807
Hahahaha wapi hapo mzee babaYaani hapa ninapolopa kodi kuna mindukuu bala sidhani kama nitatoka salama leo[emoji23]View attachment 906030
Tunakuombea sanaYaani hapa ninapolopa kodi kuna mindukuu bala sidhani kama nitatoka salama leo[emoji23]View attachment 906030
Naomba hii locationJpili murua View attachment 906220
Atpe code panafaaa kutoka na familiaKiwanja murua sana hiki
..
Kiko wapi!??