Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Haushi [emoji23] [emoji23] [emoji23] mipango ya pesa huwa tunazungumzia bar tu
Ova
Duh mzigo umekata [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana kabisa
Naona chupa zinaongezeka mpaka nitoke leo nitakoma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona chupa zinaongezeka mpaka nitoke leo nitakoma.
Hahahaha, kuna MTU kaniambia njoo sehemu tuongee biashara ,halafu sehemu yenyewe barHaushi [emoji23] [emoji23] [emoji23] mipango ya pesa huwa tunazungumzia bar tu
Ova
Mkuu hyo bia ya nchi ganKdg kdg ,nawakilisha View attachment 907262
Amini mipango mingi watu wanazungumzia barHahahaha, kuna MTU kaniambia njoo sehemu tuongee biashara ,halafu sehemu yenyewe bar
Niko ufipa kwa da tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu unamtesa mwenyekiti kiroho safi kabisa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mzgo umekata mwenyekitiKatibu unamtesa mwenyekiti kiroho safi kabisa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kata mti panda mti mwenyekiti[emoji23] [emoji23]Katibu unamtesa mwenyekiti kiroho safi kabisa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Duh kijiwe changu Hicho ple balaaaLeo ngoja nikalipe kodi Hawaii pale Kimara baruti
Ukifika hapo kuna mhudumu anaitwa masogange ana kiuno kma dondoraLeo ngoja nikalipe kodi Hawaii pale Kimara baruti