My Rafiki pekee yako hata kuniita ,mmmh umeanza lini kunitosaLeo napata kinywaji laini View attachment 917315
Mm nikinywa hicho kitanifilisi maana kitaishia tumboni tu..ngoja niendelee kupia gear ngumuLeo napata kinywaji laini View attachment 917315
Hahahaha, cc@Mshana Jr mwenyekiti,mrangi Katibu Blaki Womani mtunza hazina ,na wajumbe wote View attachment 917314
My Rafiki pekee yako hata kuniita ,mmmh umeanza lini kunitosa
Mkuu wewe ndiye kiranja wa huku kama vile Tumosa alivyo kiranja wa kule?[emoji1][emoji1][emoji1]My Rafiki pekee yako hata kuniita ,mmmh umeanza lini kunitosa
Mm nikinywa hicho kitanifilisi maana kitaishia tumboni tu..ngoja niendelee kupia gear ngumu
Yeah hyo kwa kupooza ipo vizurHahahahaha mara moja moja kupooza mwili
Hahahaha, mie haina ttzUmoja ili uweze kuendelea wekeni faranga mweka hazina nasubiri naanza nawe rafiki
Muamala haujasoma hebu hamasisha kwa kuanza najua katibu ataweka kumbukumbuHahahaha, mie haina ttz
Hahahaha, angalia vzr ktk account yakoMuamala haujasoma hebu hamasisha kwa kuanza najua katibu ataweka kumbukumbu
Rafiki acha hizo nimeandaa kitabu cha receipts kabisa nitaka kuweka hesabu kuwasilisha kwa Mshana JrHahahaha, angalia vzr ktk account yako