Hahhah upo mama mm huwa sifikilii chochote nawaza kulewa tuu kama leo nina mood ya kulewaaaa
Hakuna jamani siku ambayo haipoLini haikuwepo eti ndugu yangu?
Ukiwa unatokea sayansi mbele ya collabus upande huohuo ipo kwenye corner
Sasa tunaenda nao SawaLini haikuwepo eti ndugu yangu?
Mm sitoki bwanaSawa namalizia nilichonacho naku update
Tulewee tuleweeeee wasambaa tuna kauli yetu tinyweeeeeeeeee mpaka
Wewe unapendaga vibonge walaa usihangaike kupanda
Nasoma nasomaHili toto Shunie tamu aisee.
Cheki vizuri hiyo curve halafu malizia avatar.
Mkuu sema hakya mungu, kama bado upo hapo nakuja kukupa ofa ya maisha yako [emoji4][emoji4][emoji4]
Mzigua haoneki online tunajua kinachoendelea mda huu
Ha ha basi mimi nipo hapa ngalawa, serious
Mm sitoki bwana
No, kkkt kijitonyama ukiwa unashuka kama jengo la sayansi kuna kitimoto cha mandevu afu inafuatia ngalawa
Hakuna jamani siku ambayo haipo
Nilikua jana.. offer ya maisha yangu ipo bado kwani?
Sasa tunaenda nao Sawa
Naona maswali yashaanza hapa wanasema konyagi mbn hazipo kwenye list zao za vinywaji zinatoka wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 929166
Ipo tufanye ijumaa
Karibu na pale palikuaga miti mirefu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawajui walevi hawajawahi kukosa mbinu eeeh