Mm sitoki bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hahahaha Mkuu nimetazama vyoteHili toto Shunie tamu aisee.
Cheki vizuri hiyo curve halafu malizia avatar.
Hahhahha
Mkuu unanifurahisha sana huyo anapenda vibonge
Karibu na pale palikuaga miti mirefu?
Umefanya leo nilewe mapema halafu nikalala nikafa. Sasa hivi ndiyo naamkaHahhahha
Mkuu unanifurahisha sana huyo anapenda vibonge
Mwambie aache utaniDah nmeingia chakike nmekaribishwa kiwanja kimoja hapa mikocheni nyumbani kwa mtu ila nashangaaa nyagi,safari,hakuna,kna Heineken na Windhoek
Hatuelewielewi
Ova
View attachment 929117View attachment 929118
Umasemaje?Aache unafki aende mbinguni
Braza taratibuHahahaha, kwa picha hy naweza badili mawazo,ila acha tu wakubwa wafaidi
Hawaniwezi Hawa mbinu zipo 10000000Mwambie aache utani
Braza taratibu
Tunajua wewe unapenda vibonge. Hiyo interest ya kupenda 'akina Shunie' imeanza lini?
Kunywa black label ulale[emoji1]
Hahahaha, watakua wamenichanganyia hawa wadada ,haya ngoja niendelee na vibonge wangu
Nipo sofan bar, karibu
Hapana nyuma ya jengo la sayansi kama unaelekea kanisa la kkkt kijitonyama pembeni kabisa ya ofisi ya ACT
Mambo mremboNahisi sipafahamu kabisa
Nipo!
Ila soon utanichoka....
Mambo mrembo
Mambo mrembo