Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kuna mteja saizi? Piga kazi babu. Hivi hauna kizizi kuna mdada nimempenda humu ila naona soo kumwambia!Maombi yenu muhimu.... Naelekea Chalinze ni wito wa simu....
Sijawahi kuweza pombe ya mbali na home maana nikipiga kidogo tu akili inataka kitanda kiwepo karibu.
Nikiwa sipo maeneo ya home nitakuwa nazuga tu bia moja nitailamba masaa
Maombi yenu muhimu.... Naelekea Chalinze ni wito wa simu....
Kuna mteja saizi? Piga kazi babu. Hivi hauna kizizi kuna mdada nimempenda humu ila naona soo kumwambia!
Duh n ko mitaa yngu sasa leoo ilikuw mbioo mbio ooMaombi yenu muhimu.... Naelekea Chalinze ni wito wa simu....
Hahaha. Naogopa kukaziwa ndio maana sitaki kujaribuAcha uzembe. Mfungukie akikaza ndo utumie kizizi
Siku ukiwa Tripple B nitag nije hapo maana ndio mitaa yangu ya karibuMi nikinywa pombe za mbali kwanza silewi. Ndo maana nishazoea kulewea mikocheni ili iwe rahisi kufika home. Nikinywa sehemu kama tabata hata ninywe bia 20 silewi ng'oo. Akili inajitune niko mbali na home sitakiwi kulewa..
Duh n ko mitaa yngu sasa leoo ilikuw mbioo mbio oo
Nko tingaz mbya
Ova
Hahaha. Naogopa kukaziwa ndio maana sitaki kujaribu
Siku ukiwa Tripple B nitag nije hapo maana ndio mitaa yangu ya karibu
Nazingua tu asee sistaa [emoji23][emoji23]Ajali kazini mkuu.. kwani mtaani huwezi kukaziwa?
Niko Lugoba naona kama ni kazi ya mtego... Napiga tungi hapa Lugoba inn lakini kwa machale sanaKuna mteja saizi? Piga kazi babu. Hivi hauna kizizi kuna mdada nimempenda humu ila naona soo kumwambia!
Yeyah chicha bayaaKweli uko matingasi dingi. Maana mwandiko wenyewe unachorora [emoji23][emoji119]
Usisahau kubeba backupAsante dada niko Lugoba tayari ila siendelei mbele na nina backup ya kutosha
Kama Hali inaruhsu po a tuNiko Lugoba katibu... Kuna kibaridi fulani amazing, kinashawishi mvuto wa kukengeuka kiapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona vjana wa kangi wna Patrolooo kiamaYeah ok sawa... Dah nakuaminia hukuvuka kambi hata moja?