Niko Lugoba naona kama ni kazi ya mtego... Napiga tungi hapa Lugoba inn lakini kwa machale sana
Huyu demu mtafutie manyoya ya ngekewa tu kwisha kazi yake
mh mkuu mshana usiku huu upo macho?Duuu
Ni ndege fulani hivi kicheche, kila aendapo ana convoy la warembo wasiopungua 16 poa nitakuagiziaNampataje huyo ngekewa. Wewe hapo porini Msata ndio rahisi kuyapata maana hata nikimwona sitamjua huyo ngekewa [emoji23][emoji23]
Hatare hapa mpaka kucheeDah Lugoba moja hii
Poa mkuu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]naamini hata wewe pia
Nipo 2 club mzee baba jumatano ni mwendo wa next door tuMbn we uko macho!
Ova
Sasa kigori mzuri kama wewe hata ukitaka vyupa kama hivi vya Christiano ya Million 80 kwa robo saa si mabazazi yanakununulia fasta tu mrembo!!Pombe za bei rahisi nishashau siku mingiiiiii
Level langu kuanzia vyupa vya 30-300k hapo ndo tutaheshimiana tu
Mh!Sasa kigori mzuri kama wewe hata ukitaka vyupa kama hivi vya Christiano ya Million 80 kwa robo saa si mabazazi yanakununulia fasta tu mrembo!!View attachment 934601
Kesho ntakuwa kule mitaa yangu ofisi homeDah Lugoba moja hii
Nikija Kibaha safari hii mitafanya kukutafuta mkuu.Ni ndege fulani hivi kicheche, kila aendapo ana convoy la warembo wasiopungua 16 poa nitakuagizia
Duh kdg nije hko kuchungulia misabwandNipo 2 club mzee baba jumatano ni mwendo wa next door tu
Poa poa man[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Duh kdg nije hko kuchungulia misabwand
Ova