Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hauna haaja kwenda kwa ras simba uonge ngeli,piga tungi tu ngeli itashuka yenyew[emoji23] [emoji23] [emoji23]
U knw zis is Zat
Etc

Ova
Ni balaa aisee.

Pombe inavisha ujasili wa ajabu.

Mlevi anakwambia nakuchana makavu laivu,haunitishi.

Sasa unajiuliza makavu laivu mpaka ujibusti..?
 
Kipindi bado nipo chuo nikiwa bado darasani hua naanzaga na kuzimua na kiroba cha Zanzi kabla hazijapigwa marufuku alaf vipindi vikiisha sasa wee na vile nilikua nasoma Evening program...mbona Castle lager zilikua zinanikoma.
 
Ndugu ndo naenda kulala Sasa hivi ila after two hours nipo njiani naelekea Nanganga
 
Walevi mna nishangaza sana, wapo walevi ambao wakilewa hawapendi totoz, lakini pia wapo ambao wakilewa na totoz wanapenda balaa.hapo ndipo nashindwa kuwaelewaga nyie watu
 
Kipindi bado nipo chuo nikiwa bado darasani hua naanzaga na kuzimua na kiroba cha Zanzi kabla hazijapigwa marufuku alaf vipindi vikiisha sasa wee na vile nilikua nasoma Evening program...mbona Castle lager zilikua zinanikoma.

hHaha hakun sehem mbov ya kujiachia km chuo aisee khaa watu wanaingia pindi na chupa za maji wameweka nyagi..dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…