Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 806
- 1,537
Hii kibokoTAHADHARI
Jikagueni Walevi kabla hamajarudi homeView attachment 863118
Angalia usisababishe madhara roadWengine tupo road msimwambie ninja kangi.
Sa mbona hukuninong'oneza?Tangu jana nna kiu ya "biya" sijapata utuvu tuu,.mwenye kiu kama Mimi jamaniii em tutaftane asee,.
Namleta kabisa!
Poa tuu hata weekend hii sio mbaya,.Yuko Mbali sana huyo! Labda kwa weekend!
We umejenga???Acheni ulevi nunueni matofali mjenge
Walevi wakubwa nyie[emoji23][emoji23]
Tunza kuu yakoPoa tuu hata weekend hii sio mbaya,.
iyo kitu ya King sijawahi kutana nayo mkuu
Naam,hakika nitaitunza..Tunza kuu yako
Safi sana. Ntafarijika nikiwa Mmoja wa watakaoikata!Naam,hakika nitaitunza..
Haha...nakusubiri urudi tuu,.Sa mbona hukuninong'oneza?
Pole sana faza,.2015 Baada ya Kumaliza Kidato cha Sita, tokeo lilipotoka nilifurahi sana, nikasema ngoja leo nipige vitu.. Nilipiga Maji kinoma, kiroba, safari, k-vat, konyagi zote nilichanganya.. Bahati mbaya saana ilinyesha Bonge la Mvua.. walionibeba waliniambia walitembea kama hatua 100 hivi hawanioni.. kuja kunitafuta wanakuta Naelea juu ya Maji huko.. Pombe sio Chai..
.Mpaka Serengeti light kweli maendeleo. Ina tofauti gani na normal? Kuna mtu nimetumiwa kavaa sandozi pair tofauti je mwenzake hakunote?
Asante sana, ila Bwana Pombe.. Nzuri asePole sana faza,.