ARISTOTLE79
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 451
- 139
Habari wadau,
Leo nimeona nitumie wasaa huu kuwa msaada kwa walimu wa shule za serikali kuhusa Mambo mbalimbali yahusuyo UTUMISHI wao:-
1.Ajira
2.Kuthibitishwa kazini
3.Kupanda daraja/ cheo
4.Kustaafu
5.Kuazimwa/ secondment
NK
Niulize nikushauri:
NB:- usiniulize kuhusu uhamisho, kupangiwa kituo, sio specialization yangu.
Karibuni sana