Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Nimeacha pombe na nimeweza,pombe ni Nzuri ila ngoja niwaachie vijana.
 
Weee mi si nakuonaga hapo Mibbs? Si ndo chimbo lako[emoji23]
Hahaha ilikuwaga chimbo langu. Last seen yangu ndani ya Dar ni May 2019. Inabidi nikija uwe mwenyeji wangu ili nisije kupotea mjini maana patakuwa pamebadilika sana.
 
Hahaha ilikuwaga chimbo langu. Last seen yangu ndani ya Dar ni May 2019. Inabidi nikija uwe mwenyeji wangu ili nisije kupotea mjini maana patakuwa pamebadilika sana.
Aaah wapi mkuu[emoji848][emoji848][emoji16][emoji16]

We njoo kivyako tu Dar, hapa mjini hamna kujuana!

Storee nyingi humu ila kula kwenu
 
Nani alikwambia wine sio pombe ? Mbona mnatuibia vinywaji vyetu? Nashangaaga mtu akiniambia sinywi pombe nakunywa wine tu , sheiiiitaaaaan , wakijua pombe ni bia na konyagi

Mvinyo(wine) ni pombe yoyote inayotokana na matunda.

Bia ni pombe yoyote inayotokana na nafaka.

Mvinyo ukiwa distilled unazalisha brand.

Bia ikiwa distilled inazalisha whiskey.

Rum ni pombe inayotokana na miwa.

“Watu kumi na watano
Juu ya kasha la mfu
Yohoohoohoo
Na chupa ya mvinyo.

Ulevi na shetani
Vimewaua wengine
Yohoohoohoo
Na chupa ya mvinyo”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…