A Allyoki JF-Expert Member Joined Mar 23, 2007 Posts 289 Reaction score 181 Aug 7, 2016 #1 kesho kwenye kipindi cha mada moto chanel ten albert kilalah (the king) atakuwa na viongozi wastaafu na waliopo madarakani kuzungumzia mabadiliko ndani ya simba. saa nne usiku live on channel ten
kesho kwenye kipindi cha mada moto chanel ten albert kilalah (the king) atakuwa na viongozi wastaafu na waliopo madarakani kuzungumzia mabadiliko ndani ya simba. saa nne usiku live on channel ten
rweyy JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 232 Reaction score 159 Aug 7, 2016 #2 hakuna jinsi mabadiliko ni lazima kwa jilani sitayari na wao ni lazima tu
A Allyoki JF-Expert Member Joined Mar 23, 2007 Posts 289 Reaction score 181 Aug 8, 2016 Thread starter #3 leo kwenye kipindi hatutazungumzia suala la simba mabadiliko kutokana na kukosekana kwa baadhi ya viongozi na wadau muhimu.
leo kwenye kipindi hatutazungumzia suala la simba mabadiliko kutokana na kukosekana kwa baadhi ya viongozi na wadau muhimu.