Kuna kipindi kipya star tv mda huu kinaitwa "kuelekea 2015" Ni mjadala mkali sana,kuna wageni wanne;wawili studio za mwanza na wawili studio dar es salaam.Renatus Mkinga ndani ya studio za dar!
Kuna kipindi kipya star tv mda huu kinaitwa "AJENDA 2015" Ni mjadala mkali sana,kuna wageni wanne;wawili studio za mwanza na wawili studio dar es salaam.Renatus Mkinga ndani ya studio za dar!