πππHuyu alikupenda ulikuwa unamsikiliza na kumjibu! Wengine hawana time na watoto!!Mwanangu wa sita kuzaliwa alikua anasubiri nikirejea anaanza kutoa mashtaka...
Aaa baba.....
Kisha naitika, then anasema
Aaa mama akuma chini...π€£π€£
Kisha namuuliza, ikawaje
Then anajibu, akuma aaamimi achafuka sana....ππ
Then baada ya hapo, namuuliza tena unasemaje??ππ
Wakati huo alikua anaumri wa mwaka mbili na nusu....π π
Unanishawishi nimpeleka day care labda atabadirikamwanangu alikuwa na miaka 2.5 akawa hajui kuongea yani Zaidi ya kuita mama ishu kubwa alikuwa anashinda na dada wa kazi tu ndani lakini baada ya kumpeleka baby care aisee ni chiriku japo anachoongea hakipo straight so umri bado sana kuongea ni moja ya matendo yanayohusisha long time learning na ubongo hasa so sio simple tu kuweza kuamza kuomgea mapema hasa kama hashindi na kucheza na watoto wenzie.
mkuu bak π π π π π π nzanziii mwingine anadhani mtoto ataanza tu kuongeaa aaha baaa...wacha wutani huooInategemea NZANZI na NZANZI Mkuu π
Vuta msuli hakikisha kila siku unatumia nusu saa asubuhi na nusu saa jioni ni wewe na yeye tu. imba nae nyimbo za chekechea, tafuta vitabu vya watoto mzoeshe simple words. Chair, spoon, tea, cup.Mama yake anamsomeaga moja, mbili... Hadi 10
Kuna wakati tunamsikia anayarudia kwa tabu ila ni mara chache sana ukitaka arudie harudii hadi wakati mwingine tunakua wala hatutarajii
Nafikiri mzazi anapaswa kutenge eza upendo ili kumaintain bond kati yake na mtotoπππHuyu alikupenda ulikuwa unamsikiliza na kumjibu! Wengine hawana time na watoto!!
Hongera sana
Hahahahahahaha hadi rahaMwanangu wa sita kuzaliwa alikua anasubiri nikirejea anaanza kutoa mashtaka...
Aaa baba.....
Kisha naitika, then anasema
Aaa mama akuma chini...[emoji1787][emoji1787]
Kisha namuuliza, ikawaje
Then anajibu, akuma aaamimi achafuka sana....[emoji23][emoji23]
Then baada ya hapo, namuuliza tena unasemaje??[emoji38][emoji38]
Wakati huo alikua anaumri wa mwaka mbili na nusu....[emoji28][emoji28]
Mungu amsaidie aweze kuongea kabisa, hapo ni kumuweka mazingira ya watoto wenzie wanaojua kuongea ajifunze maneno mengine, watoto huwa walimu bora wa watoto wengine kuliko sisi wakubwa ambao mtoto anaweza asijifunze kutokana na sababu nyingi ikiwemo uoga.mkuu mm wangu ana miaka mi 4na miez miwili n wa kike.. lakin anaongea mambo ambayo ata hayaelewek. kuunganisha maneno hawez kabixa. lakin baba mama dada kaka bibi anajua kila kitu
Sina uzoefu sana na hili ila jaribu kumpeleka shule za vidudu akachanganyike na wenzie, wataalam wanadai inasaidia
Akisomewa 1,2....5.. 10 na mama yake inaweza pita muda utakuta anayarudia peke yake kwa tabuUnahisi atakua bubu?
Muangalieni kama ulimi unanyanyuka hauna kinyama kwa chini,
Lakini nikutoe hofu tu miaka miwili bado mdogo sana kuweza kupata wasi wasi kua haongei, watoto wa ndugu zangu waliongea na miaka minne, wao walikua wanaongea lugha wanazozijua wao tunasema makorokocho,
Daycare inasaidia pia, mpeleke lakini usiwe na haraka nae ataongea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaaa....πππHahahahahahaha hadi raha
Maa Shaa Allah, yuko poa sana,Akisomewa 1,2....5.. 10 na mama yake inaweza pita muda utakuta anayarudia peke yake kwa tabu
Mama yake anamsomeaga moja, mbili... Hadi 10
Kuna wakati tunamsikia anayarudia kwa tabu ila ni mara chache sana ukitaka arudie harudii hadi wakati mwingine tunakua wala hatutarajii
Hapa home naishi na mke wangu na hatoki nae nje mara nyingi wanashinda ndani kuna mtoto wa jirani ucheza pamoja nae anajifunza kuongea ila Nazani nimpeleke daycareAchana na maneno ya majirani kwenye malezi, watakupoteza! Lea mtoto vile waona sahihi kwako.
Nyanyua ulimi kama hana uzi au peleka kwa daktari wa watoto amkague! Kama hana shida ataongea tu! Mie nilikuwa na wazee (bibi na babu zake) walimkagua wakasema yupo poa. Siyo madaktari ila uzoefu wa wazee, wengi tunawazarau ila wanajua mengi sana.
Kama hana shida, nunulia mtoto michezo mbalimbali kuvuta watoto rika lake kuja kucheza nae, watoto wakija andaa kama kisherehe wanaimba, kuongea na kucheza!! Unawapa popcorn na biscuits tu + juice labda na vipipi!!
Muda mfupi tu! Ataongea! Sometimes hana watoto wenzie wanaomchangamsha. Unakuta anashinda na watu wazima ambao mtoto akiongea hawana time nae ya kumsikiliza, kumjibu au kumuongelesha!! Anaacha kuwa na hiyo bidii. Mwisho wa siku anachelewa kuongea
Amuongeleshe ngeli au sio?Watoto wa kiume kuchelewa kuonge sio ajabu. Kama anaimba hiyo si dalili mbaya. Jaribu kumbadilishia lugha pia.
Hakuna tatizo hapa, inaonekana huyo mtoto mda mwingi anakaa peke yake au anaishi na watu wazima, tafuta watoto wanao endana nae kiumri au walio mzidi kidogo mchanganye nae au tafuta watoto viongeaji sana mchanganye nao, fasta tu mzee...Anajikojolea tu hasemi chochote, maji anaenda kuchukua kikombe anakuletea, ukimwambia njoo anakuja
Mkuu unanitamanisha ni raha sana mtoto akianza kuongeaNaskia eti watoto wakila nyama za utumbo wanachelewa kuongea.
Ila huyo ataongea bado ni mdogo. Mtoto wa mdogo wangu aliongea akiwa na 3yrs. Alivyoanza kuongea tulifurahi sana simu zilipigwa kila kona tukipewa hiyo habari.
Na alivyoongea neno moja alianza kunganisha maneno ndani ya mwezi tulishangaa.
Kwa sasa anaongea hadi kero tunajiuliza analipizia ule muda aloupoteza bila kuongea. Maswali, nyimbo, kelele ni yeye.
N.b muangalie chini ya ulim kama kuna dadude wakakate hospital. Kama hakapo kuwa na subira ataongea.
Labda upate day care nzuri!! Si recomend! Hizi changamoto zako nilipitia, day care aliishia kutandikwa na waalimu na nililipa hela mingi!Hapa home naishi na mke wangu na hatoki nae nje mara nyingi wanashinda ndani kuna mtoto wa jirani ucheza pamoja nae anajifunza kuongea ila Nazani nimpeleke daycare