ushachuma nusu bora umalizie tu.Baraccuda mkuu Alafu usiendelee kuniuliza tena maana nitachuma zambi za kukupeleka kwenye maasi
Hizo nilizo chuma kesho mungu alinimamsha salama nitaenda kuzifuta Msikitini zaweza futika ila nikimuelekeza zaweza zidi uzito mpaka mwezi wa ramadhani ufike sio leoushachuma nusu bora umalizie tu.
Usije mjini...
huku si ndio kuna wale watoto wa kijani wa promosheni ya heineken mkuu?The Great park - Tabata baraccuda
HahaaaaaHizo nilizo chuma kesho mungu alinimamsha salama nitaenda kuzifuta Msikitini zaweza futika ila nikimuelekeza zaweza zidi uzito mpaka mwezi wa ramadhani ufike sio leo
Uwanja wa fisi mia kwa mia ila smart phone acha homeNi sehemu gani naweza kwenda pata kinywaji moja moto moja baridi kipindi cha wikiend halafu mwisho nikaondoka na totoz kali high class
ukiachana na totoz chafu chafu za la chaz na ambiance
Sent using Jamii Forums mobile app