Mada ya Leo

Mada ya Leo

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Posts
642
Reaction score
609
Nasema hivi mchumba hasomeshwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Japo kuna watu wengi tu humu wanasomesha wachumba zao na kuna wengine walisomesha na kipindi hiki wanajuuuta na wengine wanafurahia matunda ya kusomesha wachumba zao.

Ila kwangu mimi narudia tena kwa herufi kubwa tu kuwa MCHUMBA HASOMESHWI
 
uzi umekosa wachangiaji mana mada ishazoeleka.

kama huna pesa ya kusomesha bc kuwa mpole.
 
Mkuu Maana Yake Hivi Usimsomeshe Mwanamke Kwa Sababu Ni Mpenzi/Mchumba Bali Msomeshe Kama Kumsaidia Tu
 
Back
Top Bottom