Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Picha za ndege na majina yao zitakuwa katika uzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shingo hiyoIloning'inia ni shingo au nini
Sawa mkuuShingo hiyo
![]()
![]()
Peregrine Falcon
Ndege mwenye kasi zaidi duniani akiruka kwa ku dive hadi kufikia speed ya 390km/hr.
Huyu ndege anawinda ndege wenzake na anawala, anakula bata na popo pia, anapenda kula njiwa na ndicho chakula anapenda, anakula ndege wa aina nyingi.
Kutokana na kasi yake kubwa wakati wa mawindo humfanya kushambulia kwa urahisi ndege wakubwa zaidi kuliko yeye, Peregrine falcon ana kucha zenye ncha kali na mdomo wenye nguvu.
Ni ndege hatari. akiwa anawinda huruka juu sana halafu anaanza kushuka kwa kasi na kushambulia windo lake, speed anayopita nayo ni kama upepo. Ndege anayeshambuliwa haelewi anashambuliwa na kitu gani na kinatokea upande upi tokana na speed yake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=73OvZ_l35Sw
View: https://www.youtube.com/shorts/0yimxd_tOPY
Kuna ndege flani ya kivita USA inaitwa falcon, nadhani jeshi la US waliamaanisha huyu ndege..Huyu ni hatari na nusu aisee.
secretary birdView attachment 3202030
Jina lake 😂
Inawezekana.Kuna ndege flani ya kivita USA inaitwa falcon, nadhani jeshi la US waliamaanisha huyu ndege..
marabou stork
View attachment 3202030
Jina lake 😂