Mada ya ndege

Weka ndege wa Nuhu Kunguru Kwa Kwa Kwa Kunguru. Mwamba huyu kama unazungunzia ndege usipo mtaja mada haijakamika
 

Peregrine Falcon
Ndege mwenye kasi zaidi duniani akiruka kwa ku dive hadi kufikia speed ya 390km/hr.

Huyu ndege anawinda ndege wenzake na anawala, anakula bata na popo pia, anapenda kula njiwa na ndicho chakula anapenda, anakula ndege wa aina nyingi.

Kutokana na kasi yake kubwa wakati wa mawindo humfanya kushambulia kwa urahisi ndege wakubwa zaidi kuliko yeye, Peregrine falcon ana kucha zenye ncha kali na mdomo wenye nguvu.

Ni ndege hatari. akiwa anawinda huruka juu sana halafu anaanza kushuka kwa kasi na kushambulia windo lake, speed anayopita nayo ni kama upepo. Ndege anayeshambuliwa haelewi anashambuliwa na kitu gani na kinatokea upande upi tokana na speed yake.

View: https://www.youtube.com/watch?v=73OvZ_l35Sw
View: https://www.youtube.com/shorts/0yimxd_tOPY
 
Huyu ni hatari na nusu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…