Mada ya ndege

Huyu ni tofauti na eagle?
 
Huyu ni tofauti na eagle?
Ndio, huyu ni aina ya kipanga.
Kuna eagle pia ni hatari wanaitwa golden eagles, huyo golden eagle ana uwezo wa kubeba mbuzi , mbwa au mbwa mwitu na wanawinda mbwa mwitu, ni ndege mwenye kasi sana na nguvu sana. Anaweza beba mbwa mwitu akaruka nae juu. Ana umbo kubwa na mbawa kubwa.
Falcon ni hatari lakini kwa eagle ni habari nyingine....

Hii video hapa chini eagle anataka sungura ambae mbwa mwitu kamkamata, eagle akabeba wote sungura na mbwa mwitu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=HQNh9Adg3L0

View: https://www.youtube.com/shorts/KTI374P46sY

View: https://www.youtube.com/shorts/BF5F2_rYxc4
 
Ooh sawa
 
Mjinga huyu,ila nae atakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…