Mada za kutafuta wachumba zifutwe au zisiruhusiwe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Ombi kwa moderator wafutwe nyuzi za kutafuta wachumba humu maana wengi wao wapo kimasihara zaidi na kuchezea akili za watu

Utakuta mtu ni me lakini anajifanya ni ke kutafuta wachumba kwa nia ya kuchezea akili za watu

.
 
Mi nashauri ziendelee kubaki, lakini kila mmoja anatakiwa kuwa makini na PM yake.
Si kila anayekuja PM ni mtu mwema/muovu, msimamo wako ndio utakaokufanya uepukane na usumbufu wa namna hiyo.
 
Ziachwe tu endapo ikitokea mtu kafanya udanganyifu moderators wapo ripoti kwao kisha mtu achukuliwe hatua zinazofaa kulingana na kosa lake
 
Poleni kwa yaliyowakuta! Mimi kama kidume niliyekamilika katika Idara zote nikipenda Demu lazima nimuone na nitamlilia mpaka Anikubali,sio humu unaweza Tongoza Zombi Humu...
 
Poleni kwa yaliyowakuta! Mimi kama kidume niliyekamilika katika Idara zote nikipenda Demu lazima nimuone na nitamlilia mpaka Anikubali,sio humu unaweza Tongoza Zombi Humu...

Wengine labda wanapenda harufuu
 
punguan hao, wakae wajiangalie kwanza kabla ya kufanya ubashite wa design hiyo... Blamed bustard
 
Zibaki tu!!! Ila kila abiria achunge mzigo wake.
Ukijitoa kutafuta mchumba mtandaoni inabidi ujue faida na hasara zake... Yatakayokukuta huko hayatuhusu kabisa. Hamna anaelazimisha kumkubalia anaekuja PM na hamna anaelazimishwa kwenda PM ya mtafutaji.
 
Bando ni lao, simu ni zao...
Usiwapangie cha kupost
 
Ziendelee kubaki tu ila masharti na vigezo vizingatiwe
 
Mkuu niliona kama ulisema utakuwa ni wakuchungulia chungulia humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…