passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Wakuu habari za Jumatatu?
Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake.
Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko au ni vipi? ILA Leo nilikuwa nikitoka nyumbani na Mke wangu tunaelekea kusaka riziki yetu nikaona kama kuna kitu kimedalika sana.
Siku hizi kuna nyuzi nyingi sana za ngono, Leo jumatatu mtu anaamka na nyuzi kwamba mama zetu waligongwa nje?!! Kweli jamani wakuu Jumatatu?😂
Kuna nyuzi nyingi sana za kuhusu ngono, na ndio nyuzi ambazo zinapendwa sana.
Sasa ni kwamba hawa ni watu ambao hawana kazi za kufanya hivyo wanajaribu ku-socialize au ni inaonyesha kama taifa ni vitu tu ambavyo tunavipenda?
Jamani vijana Embu tujaribu kuandika vitu chanya ambavyo vitatusaidia kuvutana.
Tujichanganye tujichanganye tujichanganye
Nitarudi baadae kuwapa ushuhuda wa rafiki yangu huyu aliyenistaajabisha.
Niwatakie Jumatatu njema katika kulijenga taifa.