Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Kama picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..

Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini kama Prof Kabudi, Job Ndugai, Paul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani kama Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..

Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..

Karibu mjengoni na chamani Madaam..

 

 
Wanataka kukabenjua tu haka na tako lake FAKE la mchina.
Yaani mpaka hapo washambanjua,yaani watu wapuuzi wapuuzi wa instagram wanaenda bungeni.

Sehemu kama Bunge inatakiwa waende watu waliofanya makubwa kwa nchi yetu ili,uwa-inspire vijana kufanya vikubwa wewe mpaka wauza K wanaenda bungeni,nina uhakika huyu atakuwa mgeni wa mbunge wa CCM.

Alafu CAG akiwaambia bunge dhaifu spika anaanza kumaindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…