[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umejuaje ni mchina BAK
Demu safari alizokuwa anazifanya nje ya nchi obvious alienda kupiga "BOOSTER".Huoni lilivyo la ajabu ajabu picha za before and after zinajieleza anadai karithi kwa mama yake lakini lilivyoumuka haraka haraka bila ya shaka hilo si original na bongo mambo ya plastic surgery wengi bado wanayahofia.
Halafu halijakaa hata vizuri. Bora akivaa gauni. Itabidi na mimi nipate hiyo dawa nisijekosa ubunge.Huoni lilivyo la ajabu ajabu picha za before and after zinajieleza anadai karithi kwa mama yake lakini lilivyoumuka haraka haraka bila ya shaka hilo si original na bongo mambo ya plastic surgery wengi bado wanayahofia.
Halafu halijakaa hata vizuri. Bora akivaa gauni. Itabidi na mimi nipate hiyo dawa nisijekosa ubunge.
Mimi sitapaka kwenye mapaja nitapaka nyuma yaani wote wataachishwa uongozi nipewe Mimi.Hahahahaha haya banaa kila la heri ukifanikiwa kuipata usipake kwa fujo [emoji12][emoji12] aste aste itapendeza usije ukamzidi poshy mbunge mtarajiwa wa viti maalum
Mimi sitapaka kwenye mapaja nitapaka nyuma yaani wote wataachishwa uongozi nipewe Mimi.
Kwa hiyo sisi ndio waongezajiEvelyn Salt, Edelyn, Inna, Khantwe, Sakayo mnaitwa huku mjitetee na kuwatetea Wanawake kuhusu maumbo feki [emoji41]
Anavaa kikuku that's means anatoa sodoma na gomolaKm picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..
Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini km Prof Kabudi, Job Ndugai, Poul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani km Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..
Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..
Karibu mjengoni na chamani Madaam..View attachment 1130743View attachment 1130745View attachment 1130746
Umejuaje?Mpaka mtu ana kwenda kuongeza shape ..yaani ujue hilo Suala la kutoa 0713 ni sawa na kunywa chai tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.
Alisikika mwehu mmoja kule kijijini kwetu mwasubuya
Ohoooo!!!Wanataka kukabenjua tu haka na tako lake FAKE la mchina.
Ohooooo!!!!hii kitu usiku wa leo lazima Musukuma aivuruge kavu.
Mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.
Alisikika mwehu mmoja kule kijijini kwetu mwasubuya
Basi sawaHuyu si ana degree ya ifm
IFM has been reduced to this too badHuyu si ana degree ya ifm