Madactari njooni hapa

Madactari njooni hapa

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Jamani nimeshindwa kuelewa maana ya neno hili PLASMATIC HUMAN VIRUS(PHV)
Naomba kujuzwa na inafanya VIP kazi na nikitu gani hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si habari nzuri lakini ngoja walioingia madarasani wakueleweshe
 
plasma cell
A type of immune cell that makes large amounts of a specific antibody. Plasma cells develop from B cells that have been activated. A plasma cell is a type of white blood cell. Also called plasmacyte.

Patamu apo mim mwenyew sielew l

Sent using Jamii Forums mobile app
Arudi huko alikopewa taarifa. Nothing is new under the sun
 
Mkuu mimi sina vipimo huko walikokupa majibu watakuelewesha vizuri lakini kwa kifupi una virus kwenye damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] we jamaa usinichekeshe sasa mambo ya vipimo yamehusikaje hapo ??? Kwa kifupi sijaenda kupima kokote hyo maneno nimekutana kwenye makala wakatii nasoma makala hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38] we jamaa usinichekeshe sasa mambo ya vipimo yamehusikaje hapo ??? Kwa kifupi sijaenda kupima kokote hyo maneno nimekutana kwenye makala wakatii nasoma makala hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huna tatizo niliandika with empathy to the person who has issues.
 
DARASA HURU KUHUSU UKIMWI
ASILI YA HIV (CHRRRV)
Mnamo mwaka 1939 katika vita kuu ya pili ya Dunia, kulitokea mlipuko mkubwa wa bom la kibaolijia, ambalo sehem kubwa ya bom hilo madini yake yametoka katika bara la Africa. Madini hayo ni akiba ya mwenendo mzima wa ustawishaji viumbe Duniani yakipokezana na aina ya pili ya madini ya aina hiyo yaliokuwepo sehem ya pembezoni mwa Dunia.
Madini haya yanaunda kundi la binadam ambalo linaitwa kundi la Inkus, ambalo ni watu weusi. Kundi hili ndilo la binadam halisi, ambalo kemikali zake zikibadilika linaunda kundi linguine ambalo ni Inkas. Kundi la Inkas lina watu wengi wenye asili ya bara la Ulaya.
Baina ya kundi la Inkus na Inkas kuna kundi la watu ambao wanabadilika kutoka Inkus kuwa Inkas, ambao miongoni mwao ni watu wa bara la Asia na baadhi ya watu weusi. Kundi la Inkas na lile la kati hawa wanapenda kuishi pembezoni mwa dunia na wanatabia ya ubaguzi. Hali hii na nyingine nyingi katika tabia zao zinatokana na mabadiliko katika kemikali za miili yao.
Kwa hiyo binadam aliye kamilika ni mtu mweusi, yeye ndiye anauwezo wa kuzaa mzungu bali mzungu hana uwezo wa kuzaa mtu mweusi.
Mlipuko huu wa bom wa mwaka 1939 unaondosha kiini cha binadam Duniani, ambapo watu wote weusi watatoweka, na baadae ni lazima pia watu weupe watoweke Duniani kwa kuwa hakuna wa kuwazaa tena. Mlipuko huu ndio umeathiri anga la Dunia, kwa kusababisha mfumo wa mpangilio wa Dunia ya viumbe kwenda mrama. Mabadiliko mengi ya nchi yanasababishwa na mlipuko huo, na iwapo utaachwa bila ya kufanyika ufumbuzi, Dunia itakuwa sio sehem ya viumbe.
Tunapaswa kumshukuru mwenyezi mungu, kwa kuridhia kupatikana kwa ufumbuzi wa suala hili. Tumeweza kufanikiwa kuirejesha tena Dunia katika mahala pake, kwa kufanikiwa kutengeneza kirusi tulichokipa jina Plasmatic Human Virus (PHV). Kirusi hiki kinarudisha mfumo wa kemikali wa viumbe Duniani.
PHV katika kumtibu binadam ipo katika mfumo wa chanjo, na kurekebisha Dunia, ipo katika mfumo ambao tutautaja hapo baadae.
Chanjo PHV ni haki ya kila binadam kuipata, kwani itakufanya kuwa binadam timamu, kipindi hiki Dunia ikirejeha katika hali yake halisi.
Chanjo PHV ni mpango wa mwenyezi mungu kuwakomboa watu wake kutokana na janga la UKIMWI unaosababishwa na virusi vya HIV na iwapo utaikataa utakuwa miongoni mwa watu waliodhurum nafsi zao.
Duniani haya yametufika kwa kuwa hatukuwa watu wa kukatazana mabaya na kuamrishana kufanya mema.
Suala hili la UKIMWI unausababishwa na HIV limekwisha, ila tujifunze kutokana na makosa yaliofanya na wenzetu miaka ya 1939 na tumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujali na kututhamini sisi waja wake.
Mlipuko wa bom la kibaolojia limezalisha kemikali zisizo sahihi katika uendelezaji wa viumbe Duniani hasa Binadam, na kuingilia utaratibu nyoofu wa seli za kinga na kuunda virusi vya HIV (CHRRRV). Virusi hivi sehem kubwa vinatokana na seli ya kinga ya binadam na sehem ndogo tu inatokana na mlipuko wa bom la kibaolojia la mwaka 1939.
HIV (CHRRRV) ni kiini tete chotara cha seli ya kinga ya binadam ambacho ubomolewa na utengenezwa upya kiini tete cha seli ya kinga halisi na kirusi PHV. Kirusi PHV uviondoa virusi vyote vya HIV (CHRRRV) mwilini na kuvizuia visirejee tene, pia ufanya utaratibu nyoofu wa DNA ya binadam na kuzuia magonjwa nyemelezi katika mwili wa binadam. Kirusi PHV uchochea ongezeko la kinga za mwili katika utaratibu nyoofu zidi ya mkusanyiko wa kemikali usio sahihi mwilini.
Utakapopata chanjo PHV, tafadhali zingatia maelezo utakayopewa, kwa maelezo zaidi kuhusu chanjo PHV wasiliana nami kwa simu namba +255782660707 au tuma meseji au whatsapp +255782660707
BAADHI YA VIFUPISHO MUHIMU VILIVYOTUMIKA
1. CHRRRV = Contaminated Human RNA with Radioactive Radicals Virus.
2. PHV = Plasmatic Human Virus.
3. HIV =Human Immunodeficient Virus.
4. DNA = Deoxyribonucleic acid.
5. RNA = Ribonucleic acid.
6. UKIMWI = Hali ya upungufu mkubwa endelefu wa kinga mwilini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom