Madada kuwen macho wanaume wanajichubua sikuhizi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii ni kwa msaada tu wawale wanaokimbilia wanaume white na kuhisi ni more handsome kuliko black..jamani sikuhizi wanaume wanajichubua muwe makini sana
huku mikochen kuna visaloon vinawawasha usoni utasema naniino

sasa usikimbilie kuolewa kisa umemwona mwanaume mweupe weee uliza ametoka kwa mungu ama lah..mtapata shida bora ukimbilie black wako alietoka kwa God kuliko kulia na wengine ili mradi umempenda white...oaneni umuone live kama ni ngozi yake ama katengenezwa usishangae na wewe ukawa unamsindikiza kujichubua saloon

jamani embu tushukuru mungu kwa ngozi zetu unajua chubua ili iwe nini???wapendwa??

kuwen na shukran mlichopata....nawatakia Ndoa njema kwa wasiioolewa na wasiiooa
 
Sampuli za Nyoshi sizifagilii kabisa, tutakuwa tunashindana urembo badala ya kudumisha pendo!!
 
Hawana kazi ya kufanya hao.....zaidi ya kuuza sura!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…