Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Kila siku ni wachumba wanatafutwa sasa mimi nimeamua nitoke hivi. Nimekuja kivingine leo Natafuta madada wa hiari. Miaka yao angalau iwe 30-40. Sifa nitakupa PM utakapoonesha nia.
Kama uko tayari ni PM.
MBN
utajali kabila /dini/rangi/shepu umbile?
Haya hayana nafasi ila kuhusu kabila asiwe mnyiramba, mrangi wala mnyaturu
BeautyQueen heshima zote: kwanini wasiwe hao... wana dhambi gani ? au wamepungua nini? Ok utakubali semi-zeru2 ?
au Mkenya au Mgandaz au wa visiwani? your estimations is required.
Vipi Makaka wa hiari unao wakutosha? Au muda wao bado?Kila siku ni wachumba wanatafutwa sasa mimi nimeamua nitoke hivi. Nimekuja kivingine leo Natafuta madada wa hiari. Miaka yao angalau iwe 30-40. Sifa nitakupa PM utakapoonesha nia.Kama uko tayari ni PM. MBN