Licha ya kufanya watu wawe wazalendo na taifa lao lakini hili la kugegedwa madada limekua sugu ,hii inasaidia wao kutosota sana kulingana na wengine.Hivi kuna haja ya kuwa na sheria yoyote kuhusu JKT? Kuna afande mmoja ,namfahamu kitambo sana aliniambia tokea hawa form six wameanza kuja wao ni neema tu ,kibaya zaidi hawatumii kinga ,haya magonjwa yetu hayataisha kabisa wajameni,Walioenda jeshini majuzi wanalijua hili.