Madada wasanii Wa bongo niaje kwenye colabo?

Madada wasanii Wa bongo niaje kwenye colabo?

Ghetto Diva

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Hivi Wanadada wetu Wa bongo(wasanii) mbona hawajawahi kufanya colabo? Najaribu ku-recall nimegundua kwamba hamna nyimbo ya mastaa Wa kike bongo waliofanya colabo mf. Ray c na jdee.. Hivi tatizo liko wapi hasa?
 
Hili tatizo mpaka leo halijapatiwa ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom