Ukisikia hili jina unaweza kufikiri it's one hell of the place kumbe......Where else other than Billionaires Club.
Ila naona kama Double view Sinza pako poa.
Where else other than Billionaires Club.
Ila naona kama Double view Sinza pako poa.
NN how about RUNWAY LOUNGEHata mimi naona Sinza patafaa zaidi.
Ukisikia hili jina unaweza kufikiri it's one hell of the place kumbe......
Location Please..... sinza A . B or C Mori.....
Jamani Madadiito na Mamito. Lets Plan a Get together This weekend for all the Dar Members.
Najua issue ya usama wa taifa kutukusanya kama kuku lakini msijali.
It will be difficult to trace who is who.
Wengine hatuogopi hata kuweka our real Image Humu.
nitakua kiongozi mkubwa.
NN how about RUNWAY LOUNGE
Location Please..... sinza A . B or C Mori.....
Have you ever attended GROOVE THEORY???Never been there but I'm open to the idea. I just wanna have a good time so the issue of where really don't matter that much.
sinza kumebanana sana bandugu...............
Hiyo iko MikocheniLocation Please..... sinza A . B or C Mori.....
Mkirua..nijuavyo Kirua hakuna Sinza (not A, B, nor C)...heheheh!
Have you ever attended GROOVE THEORY???
yani we kufika dasilamu basi unaona unajua kila kitu?!