Madadiito na Mamito.

ndo tutajua kama lizy ni jike au dume
 
No Mkuu GROOVE THEORY it's an event kwa wale ambao wanaopenda House Music huwa inafanyika Mbalamwezi Beach

asante kwa knowledge..
house music..b bak soon..gone 2visit google!
 



Huh!! Kumbe that is your real image?? Gal you are beautiful..... and Sexy too.....
 
Yani we kufika dasilamu basi unaona unajua kila kitu?!

Huyu mentor nilimshika mkono kumvusha bara bara lakini sasa anajifanya mboooongooo! Haya bana si amesikia sasa kukwa hiyo kitu RUNWAY LOUNGE haipo sinza? manake nilistushawa ni kiwanja gani hapa sinza nisichokijua kumbe wazungumzia Maikochain... Poa wanaokifahamu kama kina maslahi tupeni tu ramani tutatia timu....
 

Hahah...dat was years ago!
leo hii unachujua bado ni hapo hapo sinza tu!
 
Nami nitaoganaizi ya membaz wote wa Kavifuti....
 
Hahah...dat was years ago!
leo hii unachujua bado ni hapo hapo sinza tu!

Apooo kwenye redi,......

May be ka ulichomaanisha kwamba mie najua sinza tu jibu ni hapana ila uko Maikochain mh! Mie mtoto wa mkulima kwenye ukoo wetu hakuna fisadi ata mmoja asa nifuate nin umo? Frankly spiking utanipoteza.... I knw veri few eriaz Mentor!
 
Vivian em amua sehem bana!
watu wanaishiatu ku propose bila kukonfem.
kwa kua we ndo umetoa wzo then toavenue na mda. ila ushauri zingatia sehem ambayo haijabana san,
na isiyokua sana ya makazi. kama fukweni n.k
nitappita hapa kuangaliamakubaliano ya mwisho ni yapi!
 



Vivian OUT OF TOPIC... My brother is crying... kwa kuomba msamaha na kwamba alikua hana nia mbaya...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…