Madagascar about to enter civil war

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
So says the US Ambassador to Madagascar. Kwa vile the Army has changed its Commander.
The Army says it has made this change so that the Army may speak with one voice. The Army says that on Friday it will step in if the politicians cannot bring order.
But this Ambassador says there could be a civil war. Maybe and maybe not. Let us remember that the US did not support Ravolamanana. He came to power by the help of the previous President of France. So,maybe when this Ambassador says he fears there will be a civil war should read that he hopes there will be a civil war.
 
Kilichomtokea Didier Ratsiraka ndicho kitamtokea Ravolamanana, hawa wanakula mpaka wanasahau kuwa kula na kipofu usimshike mkono.Mpaka wanashindwa kuwamegea wajeshi wenyewe?
 
Hiyo ni nchi ya kiafrika waacha waafrika waamue mambo yao kuna sadc kule wanaweza kumaliza suala hilo
 
Kwa nini SADC wasiintervene kama Zimbabwe?

Kumba basi Mwalimu Tz alitufanyia makubwa angalau kutuweka pamoja kama taifa!
 

Kama mambo yenyewe ndiyo haya wacha wananchi wakiongozwa na jeshi wachukue nchi yao! ...Huu ni mfano tosha kwa viongozi wa Tanzania pia.
 
Africa does not need God or a re-invasion by missionaries. Africa needs the Good. Africa needs good governance, good infrastructure, good roads, good schools, college, and universities. Africans need a sound education and training system that would make them to think, create, criticise debate, invent, and innovate freely.
 
Hapa I guess kitakachofuata ni std African copy and paste solution, yaani power sharing
 

Ndugu yangu weee! Acha masihara na MUNGU. MUNGU is everything zaidi ya hayo uliyoyataja. Acha kutuletea hayo makufuru hapa usije ukatuletea laana bure juu ya taifa letu. Please!
 
"Hiyo ni nchi ya kiafrika waacha waafrika waamue mambo yao kuna sadc kule wanaweza kumaliza suala hilo. "

SHY: Si Sadc wala Au wanaweza kulimaliza hilo. Walishindwa Somalia, akaingia Ethiopia kwa msukumo wa Bush, wanashindwa Darfur, na sasa ona Sec Council ilivyoingilia through ICC!

Lakini tukiacha hayo, hawa wapinzani wa huko ni wakali kweli kweli -- wanaingia Ikulu na kutangaza wametwaa nchi. Wananikumbusha wapinzani wale wa Thailand walivyoingia ofisi ya PM wao na kuiteka hadi kieleweke -- ajiuzulu. Na akaijiuzulu. Jee wakwetu hapa hawawezi kuazima ukurasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…