Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

Ukizaliwa nchi fulani, moja kwa moja ww n raia wa hy nchi.

nchi chache zina citizenship by birth πŸ˜€. Mfano marekani (japo Trump anajaribu kufuta)

Nchi nyingine nyingi hadi wazazi wako wawe raia nawe ndo unakuwa raia wa nchi hiyo. Nimekupa mfano wa Japan. Hata kama mzazi wako ameishi Japan miaka 100 lakini kama siyo raia, basi mtoto hatokuwa raia wa Japan.
 
Hivi mbona nikimtazama naona kabisa ni mweupe huyu, Taifa gani la kusini mashariki mwa Africa linakaliwa na panya mweupe, hawa wote ni wakoloni mamboleo ni kuswaga wote waende makwao, wa kwenda Oman waende, china, ulaya, america n.k wote watimke hadi kule kwa mapiraimidi wasepe, Africa ibaki na mtu mweusi pekee hapo na amani tutaiona.
 
Na hii ndio shida ambayo inaikumba Afrika. As long as una ushawishi.

Umakini hakuna

BTTS
 
Yaani AU na SADC unaowasema unataka kusema wanaijua Madagascar zaidi ya wamalagasy wenyewe!? Kumbukeni hizi organizations sio kwa ajili ya maRais au wakuu wa state ni kwa ajili ya wananchi wa hizo states. Sasa kama wananchi wamesema Rajoelina ndo Rais wetu wewe SADC au AU utapata wapi nguvu za kumkataa kiongozi huyo kwenye taasisi yako ambaye wananchi wanamtambua. SADC wangemkataa Rajoelina kuwa mwenyekiti wangekuwa wamefanya kosa kubwa, ingekuwa ni kukataa uanachama wa Madagascar katika jumuiya hiyo na kuingilia utawala wa wananchi suala ambalo sio malengo ya SADC. Kwa sasa ni mwafaka kwa SADC kumkataa Rajoelina kwa sababu sio kiongozi wa Madagascar tena, hivyo hawezi kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya SADC.
 
Siyo kwamba anajaribu kuifuta ila hiyo Citizenship by birth wakati wazazi siyo wamarekani hawajawahi kuwa nayo
 
Nimekupata mkuu πŸ™
 
Siyo visasi. Alikuwa na uraia wa Ufaransa. Madagascar hairuhusu uraia wa nchi mbili au zaidi. Kwahiyo alivunja katiba. Akawa rais ambaye ni raia wa nchi nyingine.
Heee huyu ndo maana alikuwa anaibagaza nchi kumbe sio raia? Uchubgu na nchi yake angeutoa wapi?
 
vipi na huko kumevurugwa na waislamu?.....
Raia feki ...kwa hapa Tanzania Raia feki ndiyo wanawatumia waislamu na uislamu kuivuruga nchi ...mbona nilisha fafanua sana na kivipi waislamu awafai kuwa viongozi sababu ni kukosa uzalendo...mtu asiye na uzalendo sifa yake ni kutumiwa na wahuni , mabeberu , na waarabu dhidi ya taifa lake mwenyewe ...huyo rais wa Madagascar ana uraia wa nchi mbili ni raia feki aliye dhaili kabisa ..
 
I beg your pardon! 🫀

View attachment 3493544
Hiyo inaonekana ni "decree" aliyotoa huyo kiongozi mpya.

Utawala Ufaransa iliacha ukoloni mamboleo kwa mlango wa nyuma ambapo raia kwenye makoloni yake, wanaruhusiwa kuwa na uraia pacha. Hata ukiwa umesoma tu hadi masters, unapewa uraia wa ufaransa, ila unakuwa unaishi kwenye koloni.
 
Huo ni ubaguzi , uintarahamwe n.k sasa huku Colombia, Brazil, Caribbeans Latin Amerika yote, Marekani ya Kaskazini, Kenya, Tanzania, South Afrika n.k nchi zenye raia wake wa nasaba mbalimbali waende wapi?
Kwahiyo umeniona mimi ninadhambi aiseeee, anyway nadhani mawazo yangu yapo sahihi sitaki ushauri.
 

Nadhani issue ya uraia pacha inabidi iwe na limit kama Mbunge/mawaziri na rais wasiruhusiwe kuhold office, yaani ukiwa na uraia pacha uwe 100% disqualified to hold that office
Fikiria rais wako awe raia nchi nyingine tena utamwamini vipi anaweza kufilisi nchi akaondoka zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…