Madai Hospitali ya Wilaya ya Ilemela kukosa watumishi, huduma nzuri na vifaa, Mganga Mkuu afafanua

yoga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
1,830
Reaction score
8,636
Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela.
Kwa upande wa miundombinu hospitali imekamilka kwa asilimia 100 toka 2020. Hospitali hii imejengwa toka mwaka 2017
Inasemwa vifaa na watumishi havipo!

Hospitali imefungwa for two years toka ikamilike. Ukipita kwenye hospitali za Sekouture, Bugando na zile za private wagonjwa wamejazana kama magunia! Na nasikia hospitali nyingi za wilaya (mpya) zilizojengwa kwa mbwembwe awamu ya tano nikama zimetelekezwa. Hazijakamilika na zilizo kamilika hazifanyi kazi

Sasa hizi fedha mmetupa humu si zingetumika kuboresha hospitali zilizokuwepo kuliko kujenga hospitali mpya ambazo zinabaki kuwa magofu? Waziri wa TAMISEMI, Bashungwa unajua mpaka sasa ni hospitali ngapi za wilaya ambazo ni mpya zinafanya kazi?

Waziri wa Afya ushawaza kufuatilia hili la hospitali hizi za wilaya kutokufanya kazi? Kwanini tunawatesa watanzania hatakama tushajua watanzania wengi waga hawajielewi? Bila kukusahau mbunge wa ilemela, Mama Mabula hii hospitali ya wilaya yako vipi?

Mkurugenzi wa wilaya uko wapi na mkuu wako wa wilaya?? Ewe mkuu wa mkoa unaye fanya ziara za nje ya mkoa mpaka wapendwa wetu wanapata ajali huoni umuhimu wa hospitali hii kuhakikisha ina fanya kazi?

Niwaombe nkirudi Mwanza tena tukute hospitali hii inafanya kazi na sio kuitelekeza !! Bila kusahau uwanja wa ndege mnatutia aibu jamani kutushusha kwenye uwanja ambao passenger building nikama sebule ya nyuma za magomeni za NHC. Ilo jengo nalo mlikamilishe!!

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mkurugenzi wa Wilaya Ilemela afafanua
Akizungumzia kuhusu madai ya kukosekana kwa vifaa na uhaba wa watumishi katika Hospitali ya Wilaya ya Ilemela, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary alisema:

“Hizo taarifa siyo za kweli, huduma zinaendelea kama kawaida, majengo yamekamlika mengi na kuna fedha ambazo tumezipata tunaendelea kukamilisha baadhi ya majengo ambayo mengi yamefikia asilimia 70.

“Kuna shilingi milioni 500 ambazo tulipatiwa kwa ajili ya kujenga wodi tatu ambazo zimefikia asilimia 70. Mwezi uliopita pia kulikuwa na bajeti ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya majengo mengine ikiwemo mochwari.

“Ni kweli kuna baadhi ya huduma ambazo hazipatikani hospitalini kwetu kama vile upasuaji kwa kuwa kuna vifaa havikamilika, tukipata wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo tunawapeleka Bugando.

“Na ninadhani kufikia Juni mwaka huu ujenzi wa majengo ambayo hayajakamilika kwa sasa, utakuwa umeshakamilika kwa asilimia 100.

“Kuhusu dawa bado hatujapata fungu la dawa lakini huduma zinaendelea kama kawaida, hiyo haimaanishi hakuna dawa wala huduma kukosekana.”

Mganga Mkuu akiri uhaba wa vifaa
Naye, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Charles M. Samson alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema:

“Hospitali haijafungwa, huduma zinaendelea kama kawaida, hospitai inafanya kazi vizuri na hata mimi nipo hapa hospitali muda huu.

“Huduma zinaendelea kama kawaida, watumishi wapo 15, wanatosha kwa kuwa hii ni hospitali mpya, hatuna watumishi wa kwetu tumechukua sehemu mbalimbali.

“Unajua Serikali ilijenga hospitali hizi za wilaya 67 nchi nzima hivyo kuna changamoto za hapa na pale lakini haimaanishi huduma hakuna, kuhusu vifaa kweli nakiri kuna upungufu huo, Serikali inafanyia kazi na ninaamini kabla yam waka huu wa fedha kuisha tunaweza kuwa tumepata vifaa.”

IMG_20220125_222715.jpg
 
Kweli hapo umegusa maslai ya nchi hata uwanja wa ndege ni aibu kubwaa sanaa sema watanzania ndio hivyo tumesinzia
Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela.
 
waliosomea utaalamu wa afya mfano madaktari na manesi ni wachache sana nchini na wengi wameajiriwa nje ya nchi kama vile ukraine,urusi, na libya...nchi yetu ina uhaba mkubwa wa wataalamu wa afya...
 
Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela.

Kwa upande wa miundombinu hospitali imekamilka kwa asilimia 100 toka 2020. Hospitali hii imejengwa toka mwaka 2017

Inasemwa vifaa na watumishi havipo!

Hospitali imefungwa for two years toka ikamilike. Ukipita kwenye hospitali za Sekouture, Bugando na zile za private wagonjwa wamejazana kama magunia!

Na nasikia hospitali nyingi za wilaya (mpya) zilizojengwa kwa mbwembwe awamu ya tano nikama zimetelekezwa. Hazijakamilika na zilizo kamilika hazifanyi kazi

Sasa hizi fedha mmetupa humu si zingetumika kuboresha hospitali zilizokuwepo kuliko kujenga hospitali mpya ambazo zinabaki kuwa magofu?

Waziri wa TAMISEMI, Bashungwa unajua mpaka sasa ni hospitali ngapi za wilaya ambazo ni mpya zinafanya kazi?

Waziri wa Afya ushawaza kufuatilia hili la hospitali hizi za wilaya kutokufanya kazi?

Kwanini tunawatesa watanzania hatakama tushajua watanzania wengi waga hawajielewi?

Bila kukusahau mbunge wa ilemela, Mama Mabula hii hospitali ya wilaya yako vipi?

Mkurugenzi wa wilaya uko wapi na mkuu wako wa wilaya??

Ewe mkuu wa mkoa unaye fanya ziara za nje ya mkoa mpaka wapendwa wetu wanapata ajali huoni umuhimu wa hospitali hii kuhakikisha ina fanya kazi?

Niwaombe nkirudi Mwanza tena tukute hospitali hii inafanya kazi na sio kuitelekeza !!

Bila kusahau uwanja wa ndege mnatutia aibu jamani kutushusha kwenye uwanja ambao passenger building nikama sebule ya nyuma za magomeni za NHC. Ilo jengo nalo mlikamilishe!!

AksanteView attachment 2095674
Daah, yaani hospitali mpya kabisa inachakaa hivihivi...
 
waliosomea utaalamu wa afya mfano madaktari na manesi ni wachache sana nchini na wengi wameajiriwa nje ya nchi kama vile ukraine,urusi, na libya...nchi yetu ina uhaba mkubwa wa wataalamu wa afya...
Acha uongo ndugu yangu, madaktari na manesi wamejazana huku mtaani kama kumbi kumbi na hakuna ajira, hebu watangaze ajira hata 10 tu za udaktari na unesi kama watu hawajajaza ule uwanja wa taifa kwenye usaili
 
waliosomea utaalamu wa afya mfano madaktari na manesi ni wachache sana nchini na wengi wameajiriwa nje ya nchi kama vile ukraine,urusi, na libya...nchi yetu ina uhaba mkubwa wa wataalamu wa afya...
Sio kweli wataalam wamejaa mtaani serikali haitaki kuwaajiri
 
Kumpa agizo Rais ni kinyume cha sheria, unatakiwa umpe ombi.
sawa mkuu.basi mh.rais najua ni msikivu na mama wa familia lkn pia ni Bibi wa wajukuu.hilo jengo Kama limekamilika basi fumba macho mama yetu tafuta kabajet kokote jengo lianze kutoa huduma kwa wagonjwa . Aksante!!
 
Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela.
Kwa upande wa miundombinu hospitali imekamilka kwa asilimia 100 toka 2020. Hospitali hii imejengwa toka mwaka 2017
Inasemwa vifaa na watumishi havipo!

Hospitali imefungwa for two years toka ikamilike. Ukipita kwenye hospitali za Sekouture, Bugando na zile za private wagonjwa wamejazana kama magunia! Na nasikia hospitali nyingi za wilaya (mpya) zilizojengwa kwa mbwembwe awamu ya tano nikama zimetelekezwa. Hazijakamilika na zilizo kamilika hazifanyi kazi

Sasa hizi fedha mmetupa humu si zingetumika kuboresha hospitali zilizokuwepo kuliko kujenga hospitali mpya ambazo zinabaki kuwa magofu? Waziri wa TAMISEMI, Bashungwa unajua mpaka sasa ni hospitali ngapi za wilaya ambazo ni mpya zinafanya kazi?

Waziri wa Afya ushawaza kufuatilia hili la hospitali hizi za wilaya kutokufanya kazi? Kwanini tunawatesa watanzania hatakama tushajua watanzania wengi waga hawajielewi? Bila kukusahau mbunge wa ilemela, Mama Mabula hii hospitali ya wilaya yako vipi?

Mkurugenzi wa wilaya uko wapi na mkuu wako wa wilaya?? Ewe mkuu wa mkoa unaye fanya ziara za nje ya mkoa mpaka wapendwa wetu wanapata ajali huoni umuhimu wa hospitali hii kuhakikisha ina fanya kazi?

Niwaombe nkirudi Mwanza tena tukute hospitali hii inafanya kazi na sio kuitelekeza !! Bila kusahau uwanja wa ndege mnatutia aibu jamani kutushusha kwenye uwanja ambao passenger building nikama sebule ya nyuma za magomeni za NHC. Ilo jengo nalo mlikamilishe!!

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mkurugenzi wa Wilaya Ilemela afafanua
Akizungumzia kuhusu madai ya kukosekana kwa vifaa na uhaba wa watumishi katika Hospitali ya Wilaya ya Ilemela, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary alisema:

“Hizo taarifa siyo za kweli, huduma zinaendelea kama kawaida, majengo yamekamlika mengi na kuna fedha ambazo tumezipata tunaendelea kukamilisha baadhi ya majengo ambayo mengi yamefikia asilimia 70.

“Kuna shilingi milioni 500 ambazo tulipatiwa kwa ajili ya kujenga wodi tatu ambazo zimefikia asilimia 70. Mwezi uliopita pia kulikuwa na bajeti ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya majengo mengine ikiwemo mochwari.

“Ni kweli kuna baadhi ya huduma ambazo hazipatikani hospitalini kwetu kama vile upasuaji kwa kuwa kuna vifaa havikamilika, tukipata wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo tunawapeleka Bugando.

“Na ninadhani kufikia Juni mwaka huu ujenzi wa majengo ambayo hayajakamilika kwa sasa, utakuwa umeshakamilika kwa asilimia 100.

“Kuhusu dawa bado hatujapata fungu la dawa lakini huduma zinaendelea kama kawaida, hiyo haimaanishi hakuna dawa wala huduma kukosekana.”

Mganga Mkuu akiri uhaba wa vifaa
Naye, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Charles M. Samson alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema:

“Hospitali haijafungwa, huduma zinaendelea kama kawaida, hospitai inafanya kazi vizuri na hata mimi nipo hapa hospitali muda huu.

“Huduma zinaendelea kama kawaida, watumishi wapo 15, wanatosha kwa kuwa hii ni hospitali mpya, hatuna watumishi wa kwetu tumechukua sehemu mbalimbali.

“Unajua Serikali ilijenga hospitali hizi za wilaya 67 nchi nzima hivyo kuna changamoto za hapa na pale lakini haimaanishi huduma hakuna, kuhusu vifaa kweli nakiri kuna upungufu huo, Serikali inafanyia kazi na ninaamini kabla yam waka huu wa fedha kuisha tunaweza kuwa tumepata vifaa.”

View attachment 2095674
Hapo ishu ni kwamba hospitali ipo kama jina tu lakini hakuna chochote ambacho kinaendelea cha maana, hao viongozi wanatoa majibu ya kisiasa tu, lakini nimefurahishwa na kitendo cha Daktari kutoweka siasa mbele, amekiri kuwa vifaa hakuna.

Wananchi wa mwanza fungukeni kuhusu hili.
 
Niwapongeze waliochukua jukumu la kufuatilia taarifa hii niliyo iweka hapa.

Nawaomba mfike hospitali hiyo ya ilemela mkajithibitishie kama hiyo hospitali inafanya kazi! Kama hao viongozi wetu mlio wahoji walivyo sema!

ila Kwakuwa majibu ya viongozi hao wa ilemela ni ya uongo na wameyasema hadharani, nalazimika sasa kuleta ushahidi wakuwa hospitali hii imefungwa na haitoi huduma kama wanavyo dai!!

Kwanza barabara ya kuifikia hospitali yenyewe ni mbovu na finyu kuhatarisha maisha ya wagonjwa haswa hao mnao kiri kuwa mnawasafirisha kutoka hapo kwenda bugando!!

Ninasafari ya mwanza sooon! Nitaaambatanisha picha hapa alafu tuone kama inafanya kazi au laaa!

Inasikitisha na kuumiza sana, fedha nyingi zimewekwa hapo na majengo mengi sana yamejengwa hapo lakini yako empty:

Hayana vifaaa wala hakuna wagonjwa wanao tibiwa hapo, nikama kituo tu mgonjwa akifika hapo kuna ambulence yakumkibiza kwingine

Lengo la mime kuitoa taarifa hii ilikuwa kuwaamsha kutoka usingizini nyie viongozi wa wilaya kuijali hospitali hii mnayo iita hospitali ya wilaya!! Ikamilike na iwe na hadhi ya wilaya ipunguze msongamano wa wagonjwa sekouture na bugando!!

Hakuna hata daladala inafika huko na haziwezi kufika hao wagonjwa wanafikje??

Acheni siasa, wasaidieni wananchi!!
 
Habari zenu wapendwa, kwa ufupi kabisa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nimebahatika kuutembelea mji wa Mwanza kwa wiki hii. Moja ya vitu vimenishtua ni hii hospitali ya wilaya ya Ilemela.
Kwa upande wa miundombinu hospitali imekamilka kwa asilimia 100 toka 2020. Hospitali hii imejengwa toka mwaka 2017
Inasemwa vifaa na watumishi havipo!

Hospitali imefungwa for two years toka ikamilike. Ukipita kwenye hospitali za Sekouture, Bugando na zile za private wagonjwa wamejazana kama magunia! Na nasikia hospitali nyingi za wilaya (mpya) zilizojengwa kwa mbwembwe awamu ya tano nikama zimetelekezwa. Hazijakamilika na zilizo kamilika hazifanyi kazi

Sasa hizi fedha mmetupa humu si zingetumika kuboresha hospitali zilizokuwepo kuliko kujenga hospitali mpya ambazo zinabaki kuwa magofu? Waziri wa TAMISEMI, Bashungwa unajua mpaka sasa ni hospitali ngapi za wilaya ambazo ni mpya zinafanya kazi?

Waziri wa Afya ushawaza kufuatilia hili la hospitali hizi za wilaya kutokufanya kazi? Kwanini tunawatesa watanzania hatakama tushajua watanzania wengi waga hawajielewi? Bila kukusahau mbunge wa ilemela, Mama Mabula hii hospitali ya wilaya yako vipi?

Mkurugenzi wa wilaya uko wapi na mkuu wako wa wilaya?? Ewe mkuu wa mkoa unaye fanya ziara za nje ya mkoa mpaka wapendwa wetu wanapata ajali huoni umuhimu wa hospitali hii kuhakikisha ina fanya kazi?

Niwaombe nkirudi Mwanza tena tukute hospitali hii inafanya kazi na sio kuitelekeza !! Bila kusahau uwanja wa ndege mnatutia aibu jamani kutushusha kwenye uwanja ambao passenger building nikama sebule ya nyuma za magomeni za NHC. Ilo jengo nalo mlikamilishe!!

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Mkurugenzi wa Wilaya Ilemela afafanua
Akizungumzia kuhusu madai ya kukosekana kwa vifaa na uhaba wa watumishi katika Hospitali ya Wilaya ya Ilemela, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary alisema:

“Hizo taarifa siyo za kweli, huduma zinaendelea kama kawaida, majengo yamekamlika mengi na kuna fedha ambazo tumezipata tunaendelea kukamilisha baadhi ya majengo ambayo mengi yamefikia asilimia 70.

“Kuna shilingi milioni 500 ambazo tulipatiwa kwa ajili ya kujenga wodi tatu ambazo zimefikia asilimia 70. Mwezi uliopita pia kulikuwa na bajeti ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya majengo mengine ikiwemo mochwari.

“Ni kweli kuna baadhi ya huduma ambazo hazipatikani hospitalini kwetu kama vile upasuaji kwa kuwa kuna vifaa havikamilika, tukipata wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo tunawapeleka Bugando.

“Na ninadhani kufikia Juni mwaka huu ujenzi wa majengo ambayo hayajakamilika kwa sasa, utakuwa umeshakamilika kwa asilimia 100.

“Kuhusu dawa bado hatujapata fungu la dawa lakini huduma zinaendelea kama kawaida, hiyo haimaanishi hakuna dawa wala huduma kukosekana.”

Mganga Mkuu akiri uhaba wa vifaa
Naye, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Charles M. Samson alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema:

“Hospitali haijafungwa, huduma zinaendelea kama kawaida, hospitai inafanya kazi vizuri na hata mimi nipo hapa hospitali muda huu.

“Huduma zinaendelea kama kawaida, watumishi wapo 15, wanatosha kwa kuwa hii ni hospitali mpya, hatuna watumishi wa kwetu tumechukua sehemu mbalimbali.

“Unajua Serikali ilijenga hospitali hizi za wilaya 67 nchi nzima hivyo kuna changamoto za hapa na pale lakini haimaanishi huduma hakuna, kuhusu vifaa kweli nakiri kuna upungufu huo, Serikali inafanyia kazi na ninaamini kabla yam waka huu wa fedha kuisha tunaweza kuwa tumepata vifaa.”

View attachment 2095674
 
Serikali si ituajiri lakini, sasa wafanyakazi tupo lakini hawatusikilizi
 
Back
Top Bottom