MADAI: Mange Kimambi na WCB wako timu moja na wanashirikiana kutengeneza kiki!

Watu kwa uongo hamjambo...
Nina amini mange kuna mtu kamwingiza choo cha kiume kwa kumpa story ya uongo makusudi na tena mtu huyo yuko WCB kuja kushtuka akajua kawatengenezea kiki na ndiyo maana hiyo habari kaifuta.
Hakuna mambo ya kulipwa wala nini
Rahisi huyo dada kumtia mtegoni, tafuta mtu ambae huyo dada anamchukia, tengeza skendo, mtumie dm halafu mwambie afiche ID tu basi, siku ya pili utashuhudia. Ukimchallenge kidogo tu unakula block, halafu anajiita activist....
 
Watu kwa uongo hamjambo...
Nina amini mange kuna mtu kamwingiza choo cha kiume kwa kumpa story ya uongo makusudi na tena mtu huyo yuko WCB kuja kushtuka akajua kawatengenezea kiki na ndiyo maana hiyo habari kaifuta.
Hakuna mambo ya kulipwa wala nini
hahaaa wabongo nyokoloso
 
You are a good narrator...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…