Soli ya Kiatu
Member
- Mar 22, 2015
- 92
- 26
Learned brothers and sisters, kuna scenario nimeipata sehemu nahtaji michango yenu; Kuna bwana mmoja say "X" alikuwa na rafiki yake wa muda mrefu say "Y" waliokuwa wakisaidiana katika shida na raha. X alipata uhamisho kwenda kufanya kazi ubalozini marekani na alipokuwa marekani alihitaji rafikiye amnunulie kiwanja chenye gharama ya million 100 na kutokana na urafiki wa siku nyingi kati yao, X alitanguliza million 90 ili rafikiye afanye malipo ya kiwanja kwa ahadi ya kumalizia million 10 baada ya siku chache. Huyu Y alichofanya ni kwamba alilipa hyo million 100 kwani million 10 aliongezea mwenyewe na katika maandikiano akaweka jina lake na X alipomalizia million 10 Yule Y aliitumia kuweka msingi wa nyumba anayotaka kujenga. X aliporudi nchini katika kuulizia kiwanja chake kwa rafikiye alikana kupokea pesa kwa ajili ya kununulia kiwanja ukizingatia katika bank transactions zake amekuwa akitumiana pesa na huyo rafikiye mara kwa mara. X amekana kabisa kurudisha kiwanja. In a laymans view X ndio mwenye haki lakini how do u prove t legally in court?!