Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi.
Baadhi ya wabunge wanaotajwa kwenye dili hiyo ni wa kutoka majimbo ya Zanzibar, Dar es Salaam, Singida, Geita, Mwanza, Mbeya na kampeni hiyo inadaiwa kuongozwa na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa sukari nchini na ndiyo maana wabunge walipandwa na hasira na kuamua kumfukuza bungeni Mpina kwa hofu kuwa angeendelea kumwaga vielelezo vinavyowahusu wao.
Je madai haya yana ukweli kiasi gani?