Msajili wa Vyama vya Siasa kasikika kuhoji kwenye sakata la kufukuzwa kwa wale 19.
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu CHADEMA bwana Benson Kigaila:
"Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni kutaka kuvuruga mchakato wa Baraza Kuu la Chama linalotakiwa kuketi mwaka huu."
Sheria zinapokiukwa hivi, kunaifainya miito ya busara yenye kuitisha subira kwenye madai ya katiba mpya kuwa haina maana:
"Huwezi kufungua kesi ya aina moja kwenye Mahakama mbili tofauti, hawa watu 19 baada ya kufukuzwa Uanachama mwaka jana kisha wakakata Rufaa Baraza Kuu, ambalo bado halijakaa.Sasa bado rufaa yao haijasikilizwa wamekimbilia kwa msajili." amesema Kigaila
Enyi ma referees mliopaswa kutoegemea upande wowote msipoangalia mtakuwa ndiyo mnaoyaongezea uhalali mapambano ya kudai katiba mpya.
www.jamiiforums.com
----
Hawakukosea waliosema tenda wema uende zako. Ila hii ya kuvaa miwani ya mbao, yetu macho.

Mzee Warioba: Corona, Katiba na Miito ya Busara
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...